kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Amekamatwa nani bila kosa wakamatwao wote wana sababu zao!Sasa mbona mnakamata kamata wanasiasa na wakosoaji, hovyo hovyo kwa kisingizio cha uchochezi?
Una ushahidi lissu mwenyewe alishakiri hao watu hawajui!Yaani hujaona tu mtu aliyehusika na shambulio hilo la kisiasa dhidi ya Lissu??
Mbunge Tundu Lissu ameminiwa risasi zaidi ya 30 kwenye makazi ya viongozi wa kitaifa zaidi ya miezi 4 iliyopita.
Hadi Leo hii hajakamatwa hata mshukiwa mmoja!
Kwenye hayo makazi, kuna kawaida ya kuwa na walinzi.
Siku hiyo ya kupigwa risasi Tundu Lissu, walinzi "waliondolewa" pale getini!
Kamera za CCTV zilizoko kwenye makazi hayo ya wakubwa zilinyofolewa!
mwambie bsba yako aliye kama Mungu atafakari kauli zakeTumesikia viongozi wa chadema wakilalamika tangu kiongozi wa chama chao alipopigwa risasi hakuna mtu yeyote mpaka leo hii aliekamatwa na polisi kuhusiana na tukio hilo la shambulizi
hapa kidogo inatia ukakasi,polisi wanafanya kazi yao kwa weledi mkubwa hawawezi kujikamatia tu mtu yeyote,
wangefanya hivyo chadema mngekua wa kwanza kusema wanakamatwa watu wasio na hatia,wa pili ingekua ile taasisi ya kutetea haki za chadema tanzania inayoongozwa na mwanamke,
polisi waliona suala limegubikwa na siasa
Polisi walitaka kwenda nairobi mheshimiwa akapaza sauti polisi wa Tanzania hawana uwezo wa kwenda kumuhoji nairobi hospital,
leo hii ni ajabu unaposema dereva anasumbuliwa
Nae pia anatakiwa kuhojiwa inashangaza unapotaka wengine wakamatwe ,lakini dereva hutaki nae aah hapa kidogo mjitafakari na hii siasa mbaya,
mheshimiwa unaposema muhimbili kuna huduma mbovu na usimamizi mbovu hapa unaendelea kujaza siasa wakati tulimuona mwenyekiti wenu wa kanda ya pwani alilazwa pale na akasifia,
masuala yako na bunge wewe pambana nao kimya kimya kudai haki yako kwanza mlisema hamtaki kikao na viongozi wa bunge kikao kiliitishwa karimjee na mbatia akahudhuria kwa kua mlikua bado mna hasira muafaka haukufikiwa leo hii nini sasa mnalia na serikali,
Hawawezi kufanya kazi kwa shinikizo la mtu!Unaposema haliwezi kujikamatia tu mtu yeyote unamaanisha nini?
Yani wafanye uchunguzi halafu wajikamatie mtu yeyote? Nini maana ya uchunguzi?
Ujinga ni sifa kuu kuamini kila kinachosemwa!Ujinga ulionao sijui utaisha lini Mungu wangu.
Kumbe alifunga hadi CCTV,au alitaka alindwe na I'll ya Dr Tulia! Cha mtu mavi ukikiona temea mate..wahengq hao walisema pia mtumaini cha ndugu sijui nini,nguo ya kuazima nayo haisitiri nanihii....!Kwanini camera ya CCTV iliondolewa pale jirani na tukio lilipotokea? Wauaji wanajulikana, tusipotezeane muda. Mkono wa chuma haujawahi kuleta utangamano kwenye nchi yoyote katika dunia hii.
Hoja zako ni zina mashiko ila nakumbuka Nyani Ngabu alijisemea kuwa katika hili CDM wameishajipangia mtuhumiwa hata polisi ikikamata watu million moja haitasaidia kitu Lakini mwisho wa siku ukweli utajulikana baada ya kuhoji Dereva wa TLAmekamatwa nani bila kosa wakamatwao wote wana sababu zao!
Imeshakua sasa dereva anasumbuliwa!Hoja zako ni zina mashiko ila nakumbuka Nyani Ngabu alijisemea kuwa katika hili CDM wameishajipangia mtuhumiwa hata polisi ikikamata watu million moja haitasaidia kitu Lakini mwisho wa siku ukweli utajulikana baada ya kuhoji Dereva wa TL
Lisu kachanganyikiwa. Alidhani kuongea Kiingereza basi vyombo vyote vya habari duniani vitamzungumzia. Anadhani yeye ni mtu mkubwa sana anayepapatikiwa na vyombo vyote vya habari kumbe ni kajitu ka kawaida tu. Sasa inabidi genge la Chadema litafute mbinu nyingine.