Don san tan
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 575
- 443
Naunga mkono hoja.Napenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za kisataarabu na Sio za kiharakati.
NAWATAKIA KAMPENI NJEMA
NA ZA KISTAARABU NA SIO ZA KIHARAKATI
Huyo unamuunga mkojo.Naunga mkono hoja.
Wekeni bunduki chini mshindane kwa hoja basi.Napenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za kisataarabu na Sio za kiharakati.
NAWATAKIA KAMPENI NJEMA
NA ZA KISTAARABU NA SIO ZA KIHARAKATI
Akili zimeishia hapo.dawa ya CHADEMA ni kuwasweka lupango tu
Unawapangia jinsi ya kuongea sio????Napenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za kisataarabu na Sio za kiharakati.
NAWATAKIA KAMPENI NJEMA
NA ZA KISTAARABU NA SIO ZA KIHARAKATI
Hebu wapangie cha kusemaNapenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za kisataarabu na Sio za kiharakati.
NAWATAKIA KAMPENI NJEMA
NA ZA KISTAARABU NA SIO ZA KIHARAKATI
Watu hawaogopi tena pyupyu!dawa ya CHADEMA ni kuwasweka lupango tu
Hahahahaha hawaogopi mkuuWatu hawaogopi tena pyupyu!
Rais "wenu" huyo ni yupi hadi Chadema wamwongelee ina maana ni maarufu sana.?Napenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za kisataarabu na Sio za kiharakati.
NAWATAKIA KAMPENI NJEMA
NA ZA KISTAARABU NA SIO ZA KIHARAKATI
Kila mtu atakufa angalia pua yako inaangalia wapiHahahahaha hawaogopi mkuu
Kajifunze kusoma.Huyo unamuunga mkojo.
Najua kuandika, kusoma ndio nimeanza juzi tu bado sijui kabisaaaaaa!Kajifunze kusoma.