Nawe jiulize kinyume chakeMimi nawaona na kuwafananisha kama watu ambao mmepanda mbegu za unafiki, uzandiki na uchochezi.
Nimewafuatilia humu sasa kama miaka 6 hivi - kila post ihusuyo serikali lazima muingie humu kutukana, kukosoa, kuchochea, kukashifu n.k na kwa post zihusuzo chadema mnazisifia, mnazishangilia hata kama ni mbovu.
Hebu fikiri, lini mlichukia kuwapokea mafisadi walioshindwa maisha CCM?
Lini mlichukia kuongozwa na Mwenyekiti wa chama anayetuhumiwa kukwepa kodi ktk shirika la NHC?
Lini mlichukia kudanganywa kuwa hata usipofanya kazi serikali ijayo ya chadema itawapa maisha na fedha?
Lini mlipofurahi kuona barabara za lami kona zote za nchi?
Lini mlipofurahi kuona serikali ya CCM ikisambaza umeme vijijini?
Lini mlipofurahi polisi wakifanya mazoezi ya kulinda watu na mali zao?
Lini mlipofurahi kuona walimu wakiongezewa mishahara?
NINYI NI KIZAZI KILE (OLE WA NCHI NA BAHARI)
Kubalini kubadilika, acheni roho za akina farao.
Msakila KABENDE
Mshauri wenu
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
. Lini ulifurahi kukua kwa upinzani
. Link ulifurahia kuona democrasia kwa vyama vya upinzani ikitekelezwa
. Link ulifurahia upinzani ukimkosoa jpm
. Link ulifurahi elimu bora kwa mtanzania nawala si bora elimu ya bure