CHADEMA msichezee amani ya Tanzania, angalieni sababu za nyie kushindwa

Mleta mada sidhani unaandika unachokijua au unachokielewa au ulichoambia au kusikia. Sio lazima mkakati utoe matokeo chanya. Kupata kura sio tatizo ila kupata kura halali ndo changamoto. Huu uchaguzi umekua na changamoto nyingi za majumuisho. Matokeo yana matatizo sana.ata kama magufuli anashinda basi apate anachokistaili. Mpka sasa matokeo ya dar es salaam kiini macho ambapo kuna miundombinu na uangalizi wa kutosha je vijijini?
 
UKAWA wasilete hoja za jumla jumla.kama wana hoja specific walete kwa nyaraka halali ikiwa ni pamoja na fomu za Mawakala wao.pia uwe ushahidi under oath ili anayepotosha awe amefanya kosa la kijinai.nyaraka zipelekwe NEC.kwenda kwenye majukwaa ya WAANDISHI wa habari ambao wengi wao wana agenda za kisiasa wazi ni ku politisize hoja
 
Tunajiuliza, UKAWA bara wanasema na wameiagiza NEC kusimamisha uhesabuji wa kura na wanakwenda kutokubali matokeo hata kabla hayajatolewa.

Lakini kwa upande mwingine Maalim Seif amesema anashangaa ZEC kusimamisha na kufuta matokeo ya uchaguzi.

Na hivyo ameiagiza iendelee na kazi yake imalize. Sasa nani ni nani? Tubebe ipi tuache ipi?

Mnatuchanganya nyinyi viongozi wa wapi mbona mnataka kupasua taifa hili.

Lazima mpelekwe The Hague kama machafuko yoyote yakitokea.

Tumeshasema na tunarudia

Umesahau na makamba kufungua kesi ya kupinga matokeo ya majimbo manne walioshinda CHADEMA, ana maanisha nini kama sio kutokuwa na imani na NEC..
 
Chadema imenifanya niwachukie wachaga sana na ukabila wao,
naanza kwa kusema hvo sababu wamekuwa wafuata upepo na hawaangalii sera, yaan ukitaka kugombea wao lazma uwe mchaga au wa kaskazn watakuunga mkono
 
UKAWA wasilete hoja za jumla jumla.kama wana hoja specific walete kwa nyaraka halali ikiwa ni pamoja na fomu za Mawakala wao.pia uwe ushahidi under oath ili anayepotosha awe amefanya kosa la kijinai
Kwa mfano wakija na ushaidi wa uchaguzi(matokeo) waupeleke wapi? Kwa hatua gani? Nani haupokee? Maamuzi atoe Nani?
 
Amani, masanduku kwenye maroli kama mahindi? Majimbo yanawapoga kura 158% halafu unatumbua mimacho unatuambia amani? Douchebag!!!
 
Chadema imenifanya niwachukie wachaga sana na ukabila wao,
naanza kwa kusema hvo sababu wamekuwa wafuata upepo na hawaangalii sera, yaan ukitaka kugombea wao lazma uwe mchaga au wa kaskazn watakuunga mkono
Kwa hiyo walioshinda wrote in wachaga? Acha upuuzi
 
Utafutwa vipi wa bara ingali akijua siye bara hatumpigii kura yeye Yaani maalim?? hoja zaifu sana uraisi wa zanzibar hautuhusu siye bara na kwa sasa nadhani ndiyo wabara wadai haki yao na si wazanzibar ku-act kutusaidia.
Elimu bado ni tatiizo!!!! Huwez tangaza rais wa jamhuri ya Muungano bila kura za wanzibar!!! Ni sawa na kusema wazinzabar hawana umuhim!!! Afu mleta mada pliiizzz kiswahili hicho ni kura na co kula cjui kwa nn tunakosea hili neno!!!
 
Amani ya Bwana iwe nanyi wadau,

Nikiwa ninafuatilia kwa karibu sana uchaguzi wa mwaka huu wa Tanzania tena kwa jicho la umakini na la kipekee napenda kuwaambia Chadema kuwa wasikatae wala kupinga ni ukweli usio pingika kuwa kwenye uchaguzi huu wamepigwa vibaya sana hasa kwenye matokeo ya uraisi na pia kwenye ubunge maeneo mengi sana na kwa uchunguzi na uchambuzi wangu hizi ndo sababu.

1. Hoja ya Ukanda,
Hoja hii ingawa wanaikwepa Chadema ila ni hoja kuu iliyowaangusha sana. Hoja hii ilianza pale Television ya ITV ilipoanza kuwabeba sana Chadema na hadi watu wengi wakaanza kuiona kuwa ni channel ya kikanda inayoibeba Chadema. Chadema kutokana na kubebwa na ITV pamoja na vyombo vya habari vya IPP, walipata kiburi sana kitu kilichoinyanyua STAR TV kuanza kumbeba Magufuli na CCM pale CCM walipoamua kumchagua Magufuli kuwa mgombea wao.

Hoja hii iliwanyanyua watu wa kanda ya ziwa ambao kiukweli na uhalisia ndo watu walio wengi zaidi kwenye makabila ya Tanzania. Huitaji kwenda shule kujua ila kiukweli ni kuwa mikoa yenye wasukuma wengi yaani Tabora, Shinyanga, Geita, Simiyu, Mwanza imambeba sana JPM NA hata ukiangalia mwenendo wa kula utaliona na kulitambua hili.CCM wana ngome zao za ushindi mikoa ya Dodoma, Pwani, Singida, Ruvuma na Sehemu kubwa ya Singida, Rukwa na Katavi NA Tanga.

Kitendo cha Magufuli kupata kura kwenye ngome zao ukiongezea na kura za wasukuma kimempa ushindi mkubwa sana Magufuli. Huu ni ukweli ambao Lowassa na Chadema hawana budi kuukubali na kuuchukua na kuacha kuleta sababu zisizo na kichwa wala miguu.

2. Strategy ya CCM kufunga kampeni Mwanza.
CCM walijua kuwa ukawa kwa dar wataipa hali ngumu sana na Lowassa aliwekeza Mwanza sehemu yenye ushawishi kanda ya ziwa na pia walijua ingawa ukawa wana nguvu mbeya mjini, Tunduma na Momba ila kwa hali ilivyo isingewezekana kwa ukawa kuwashinda kwa kura majombo yote ya mbeya kulingana na nature ya wakazi wa mbeya kutofautiana.

Hili nitalielezea nikipata muda zaidi, ila wao kuamua kumalizia kampeni zao Mwanza kunakowakilisha kanda ya ziwa kuliivuta mikoa mingine ya mara na Kagera mabayo nayo haitabiriki kisiasa. Strategy hii imeibeba sana CCM na kusema kweli imewalipa vizuri sana.

NAPENDA KUMALIZIA KWA KUMPA POLE LOWASSA NA KUSEMA AKUBALI TU KWA KUWA KWA SABABU HIZI isingewezekana kamwe kushinda hata angepata kura zote za kanda ya kaskazini.

hv ni nani anayechezea amani ya nchi je ni yule anayewapangisha watu mstari wakati kura zimepigwa zamani au ni yule anayekana huu udhalimu.
 
Iangalie tena hoja ya ukanda na ukabila then linganisha na hiki ulichokiandika hapa? Mimi nimejaribu kuziangalia na kuzitafakari sababu zilizopelekea kufutwa kwa uchuguzi wa zenji,du mbona kama zinaapply na bara pia?
 
Mkuu wewe ndie unaechanganyikiwa, mmoja kaiagiza ZEC mwingine NEC sasa
wanakuchanganya nini hapo.

Mlishaambiwa kwa tume hizi ccm itachukua muda sana kung"oka.ukiamua kuingia mchezo maana yake umejiridhisha utakubali matokeo vinginevyo mngesusia tu
Cc Nyani Ngabu
 
  • [h=1]linda_ukawa_supporterTAARIFA KWA UMMA,

    Jana jioni ktk eneo la Mayfair Plaza Yericko Nyerere akiwa na wenzake wawili alikamatwa na Askari Polisi (waliokua na sare) wakijitambulisha kuwa ni wa kituo cha Oysterbay. Polisi hao walidai kumtafuta Yericko kwa muda mrefu hivyo waliondoka nae kwa gari la Polisi wakieleza kuwa wanampeleka kituoni.
    Hata hivyo Yericko aliwaomba aache ufunguo wa gari kwa wenzie lakini hawakumruhusu. Baada ya kujulishwa tulimfuata kituo cha Plolisi Oysterbay lakini hakuwepo. Polisi aliyekuwa zamu alisema hakuna mtu mwenye jina hilo aliyefikishwa kituoni hapo. Leo tumezunguka vituo vya Polisi vya maeneo jirani lakini tumemkosa na Polisi wanadai hawana taarifa zozote kuhusu Yericko.

    Wale jamaa waliokuwa pamoja na Yericko wakati anakamatwa wametoa maelezo yao Polisi lakini bado haijulikani Yericko yupo wapi. Simu zake hazipatikani wala nyumbani kwake hayupo.

    Tunatoa wito ikiwa Yericko amekamatwa kwa kosa lolote la kisheria basi ni vema afunguliwe mashtaka na kufikishwa mahakamani ktk taratibu zinazoeleweka. Kumkamata na kumzuia huku mkificha kuwa hamjui alipo sio sahihi. Kama hayuko mahabusu yuko wapi? Anafanya nini? Na kwanini iwe siri?
    Vyombo vya dola kukamata watu na kuwaficha bila kuwafungulia mashtaka halali kisheria (detention without trial) ni ugaidi. Ikiwa Polisi wamemkamata Yericko ni vema wamfikishe mahakamani ili nae apate nafasi ya kujitetea sio kumficha au kumtesa. Ikumbukwe hii si mara ya kwanza Yericko kutishwa na jeshi la Polisi. Tunatoa rai kwa vijana wote tupaze sauti zetu kutetea haki ya mwenzetu.

    #JUSTICE_FOR_YERICKO.!
    [/h]
 
mkuu fungulia thread yake.
 
Back
Top Bottom