CHADEMA mrudisheni Dr.Slaa kundini mtengamae

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,276
Tuseme tu ukweli,Dr Slaa alikuwa nguzo kubwa ndani ya CHADEMA na UKAWA,tunamhitaji huyu mzee wa kukusanya nyaraka na kutoa matamko yenye facts tupu.

Inaonekana wazi sasa hata CHADEMA hawajui wanasimama kwenye nini hasa!either kupinga ufisadi?hell no hawana huo ubavu kama mwanzo!Je kukosoa serikali ya Magufuli?pamoja na kukosoa tunakosoa hata utumbuaji majipu ambayo yalikomaa.

2020 kuna sera gani UKAWA CHADEMA watatumia?kama ni mabadiliko je kwa Magufuli hamna?utumbuaji majipu TRA,bandari,ndege 3 zinakuja,kiasi flani bila unafki Rais Magufuli anajitahidi ingawa kukosolewa ni kawaida.

Tumlaumu Magufuli kwa kukaa pembeni suala LA uchaguzi Zanzibar,na tuilaumu tume ya uchaguzi kwa kasoro za uchaguzi.

Ni mabadiliko gani UKAWA/CHADEMA tunahitaji hasa kwa sasa?Kujipanga kunahitajika sana!

Bado CHADEMA tunamhitaji Dr.Slaa,mtu ambaye anajua anachokisema,anajua anachokisimamia,chadema haitakiwi kutoa matamko ambayo hata wao wenyewe wanajifunga kwa kauli zao awali.

Ili UKAWA ipate miguu ya kusimama,kukosoa serikali,kufichua maovu ,kutoa tamko zenye kutikisa nchi na zenye facts ili Magufuli atumbue majipu vizuri bado inamhitaji Dr.Slaa.

Mheshimiwa Edward Lowasa hana credibility ya kutoa tamko,Mbowe bila Dr Slaa hana pia,misingi ya CHADEMA ilikuwa kwenye Dr Slaa 30%.

Tunamhitaji Dr.Slaa kuwa ndani ya CHADEMA ili akiongea kuwe na kipya maana akiwa pamoja na Mbowe ,Mnyika,Lissu,Msigwa n.k,wakipaza sauti kwa pamoja wanasikika na watanzania tunawaelewa.

Ili upinzani ukue Tanzania UKAWA NA CHADEMA tunamhitaji Dr Slaa,pia Dr.Slaa hawezi kusimama mwenyewe bila CHADEMA,hakuna chama aliyoijenga kama CHADEMA,nje na hapo hawezi kuaminika.

Viongozi wa UKAWA na CHADEMA washauriane wawe timu moja na Dr Slaa,wanamhitaji.

NAFUNGUA MJADALA.

Viol wa JF.
 
..."tuseme tu ukweli" ukweli gani unaoujua ww!!,nenda mwambie aje kutuambia zile gharama za hoteli alilipiwa na nani?,wakati yeye alikuwa anashindia mihogo ofisini!!,halafu akishatujibu,mwambie awasalimie wote huko Canada,hatumtegemei binadamu,hata vitabu vitakatifu vimesema, ole wake amtegemeaye mwanadamu!!
 
Subiri CDM maslahi. Jiandae kwa mvua ya matusi. CDM asili watakuelewa ila team ma-mvi ni shida.
 
Kisha maliza hela alizopewa na Tiss? Fungate ya Canada si mchezo!!!!
hahaha mama alikuwa ajui kuwa kupiga sim bongo kwa line ya mkononi ni bei kubwa baada ya mwezi bili ilikuwa kanadian 1450.tangu hapo apigi simu bongo tena.

swissme
 
kaona ccm haimjali kawatisha kuwa yuko na nyalaka .

swissme
Lowasa na Slaa nani msafi?
..."tuseme tu ukweli" ukweli gani unaoujua ww!!,nenda mwambie aje kutuambia zile gharama za hoteli alilipiwa na nani?,wakati yeye alikuwa anashindia mihogo ofisini!!,halafu akishatujibu,mwambie awasalimie wote huko Canada,hatumtegemei binadamu,hata vitabu vitakatifu vimesema, ole wake amtegemeaye mwanadamu!!

Kisha maliza hela alizopewa na Tiss? Fungate ya Canada si mchezo!!!!
 
Tuseme tu ukweli,Dr Slaa alikuwa nguzo kubwa ndani ya CHADEMA na UKAWA,tunamhitaji huyu mzee wa kukusanya nyaraka na kutoa matamko yenye facts tupu.

Inaonekana wazi sasa hata CHADEMA hawajui wanasimama kwenye nini hasa!either kupinga ufisadi?hell no hawana huo ubavu kama mwanzo!Je kukosoa serikali ya Magufuli?pamoja na kukosoa tunakosoa hata utumbuaji majipu ambayo yalikomaa.

2020 kuna sera gani UKAWA CHADEMA watatumia?kama ni mabadiliko je kwa Magufuli hamna?utumbuaji majipu TRA,bandari,ndege 3 zinakuja,kiasi flani bila unafki Rais Magufuli anajitahidi ingawa kukosolewa ni kawaida.

Ni mabadiliko gani UKAWA/CHADEMA tunahitaji hasa kwa sasa?Kujipanga kunahitajika sana!

Bado CHADEMA tunamhitaji Dr.Slaa,mtu ambaye anajua anachokisema,anajua anachokisimamia,chadema haitakiwi kutoa matamko ambayo hata wao wenyewe wanajifunga kwa kauli zao awali.

Ili UKAWA ipate miguu ya kusimama,kukosoa serikali,kufichua maovu ,kutoa tamko zenye kutikisa nchi na zenye facts ili Magufuli atumbue majipu vizuri bado inamhitaji Dr.Slaa.

Mheshimiwa Edward Lowasa hana credibility ya kutoa tamko,Mbowe bila Dr Slaa hana pia,misingi ya CHADEMA ilikuwa kwenye Dr Slaa 30%.

Tunamhitaji Dr.Slaa kuwa ndani ya CHADEMA ili akiongea kuwe na kipya maana akiwa pamoja na Mbowe ,Mnyika,Lissu,Msigwa n.k,wakipaza sauti kwa pamoja wanasikika na watanzania tunawaelewa.

Ili upinzani ukue Tanzania UKAWA NA CHADEMA tunamhitaji Dr Slaa,pia Dr.Slaa hawezi kusimama mwenyewe bila CHADEMA,hakuna chama aliyoijenga kama CHADEMA,nje na hapo hawezi kuaminika.

NAFUNGUA MJADALA.

Viol wa JF.

mnafiki ni vigumu kujificha,angalia bold na underline nilizoonesha hapo juu.Wewe uko wapi kwani?
 
Subiri CDM maslahi. Jiandae kwa mvua ya matusi. CDM asili watakuelewa ila team ma-mvi ni shida.
Silaumu CHADEMA ya sasa na ya awali,hizi ni siasa lolote laweza kutokea,lakini ukiangalia CHADEMA ya sasa na zamani kuna tofauti sana
 
Lowassa.

swissme
Nitajie list ya viongozi wa CHADEMA waliokuwa wanamchafua lowasa kabla hajahamia CHADEMA ,anaweza akawa mchafu ila waliokuwa wanaomchafua sasa wanamsafisha wanasimama wapi hasa?
 
Nikiingia kwenye details baada ya kuainisha unafiki wako,moja ya badiliko kubwa ambalo nchi hii inalihitaji ni kumkomboa mtanzania kifikra na kufanya reform kubwa kwenye mfumo wetu wa elimu ili profesa asiwe anafikiria kama mtoto wa darasa la pili.
pili,kupunguza ukubwa wa serikali na matumizi yasiyo lazima.Hapa ni kufutilia mbali wakuu wa wilaya ambao kimsingi majukumu yao yanaweza kuhamishiwa kwa mkurugenzi wa halmashauri.Kufuta mbio za mwenge.Pamoja na kubana matumizi anakotuonesha Magu,bajeti ya mwaka huu inaonesha mapato yote ya ndani hayafikii matumizi ya kawaida ya serikali.Ina maana shughuli za maendeleo zitaendeshwa kwa mikopo na misaada.
Tatu,katiba ya wananchi itakayoweka misingi ya uongozi.
nne;Reform ya jeshi na usalama baada ya kuonekana kupwaya na kutowajibika
tano;Huduma kwa jamii pamoja na miundombinu imara zaidi

Mambo ni mengi,sio kutumbua majipu peke yake.
 
Silaumu CHADEMA ya sasa na ya awali,hizi ni siasa lolote laweza kutokea,lakini ukiangalia CHADEMA ya sasa na zamani kuna tofauti sana

Naomba nikuulize, hivi ingetokea slaa amefariki ungetoa huu ushauri? Nimekuuliza hivyo ili ujue tunahitaji kujiondoa ktk misingi ya kutegemea umaarufu wa watu kwani hufa na kupotea!!

CCM Leo akina Nyerere hawapo lkn kila siku wanazaliwa watu wapya!!

CDM nayo inaelekea huko... Wengine watakufa wengine watazaliwa huo ndio msingi imara wa chama komavu!!
 
Mkuu umetoa ukweli wa kisayansi wote wanaopinga hawaongozwi na fikira bali mihemuko ya kumpenda Lowassa. Kama unasema uongo tukutane hapa 2020. CHADEMA ya leo imefifia a.k.a ime-fade
 
Tuseme tu ukweli,Dr Slaa alikuwa nguzo kubwa ndani ya CHADEMA na UKAWA,tunamhitaji huyu mzee wa kukusanya nyaraka na kutoa matamko yenye facts tupu.

Inaonekana wazi sasa hata CHADEMA hawajui wanasimama kwenye nini hasa!either kupinga ufisadi?hell no hawana huo ubavu kama mwanzo!Je kukosoa serikali ya Magufuli?pamoja na kukosoa tunakosoa hata utumbuaji majipu ambayo yalikomaa.

2020 kuna sera gani UKAWA CHADEMA watatumia?kama ni mabadiliko je kwa Magufuli hamna?utumbuaji majipu TRA,bandari,ndege 3 zinakuja,kiasi flani bila unafki Rais Magufuli anajitahidi ingawa kukosolewa ni kawaida.

Tumlaumu Magufuli kwa kukaa pembeni suala LA uchaguzi Zanzibar,na tuilaumu tume ya uchaguzi kwa kasoro za uchaguzi.

Ni mabadiliko gani UKAWA/CHADEMA tunahitaji hasa kwa sasa?Kujipanga kunahitajika sana!

Bado CHADEMA tunamhitaji Dr.Slaa,mtu ambaye anajua anachokisema,anajua anachokisimamia,chadema haitakiwi kutoa matamko ambayo hata wao wenyewe wanajifunga kwa kauli zao awali.

Ili UKAWA ipate miguu ya kusimama,kukosoa serikali,kufichua maovu ,kutoa tamko zenye kutikisa nchi na zenye facts ili Magufuli atumbue majipu vizuri bado inamhitaji Dr.Slaa.

Mheshimiwa Edward Lowasa hana credibility ya kutoa tamko,Mbowe bila Dr Slaa hana pia,misingi ya CHADEMA ilikuwa kwenye Dr Slaa 30%.

Tunamhitaji Dr.Slaa kuwa ndani ya CHADEMA ili akiongea kuwe na kipya maana akiwa pamoja na Mbowe ,Mnyika,Lissu,Msigwa n.k,wakipaza sauti kwa pamoja wanasikika na watanzania tunawaelewa.

Ili upinzani ukue Tanzania UKAWA NA CHADEMA tunamhitaji Dr Slaa,pia Dr.Slaa hawezi kusimama mwenyewe bila CHADEMA,hakuna chama aliyoijenga kama CHADEMA,nje na hapo hawezi kuaminika.

Viongozi wa UKAWA na CHADEMA washauriane wawe timu moja na Dr Slaa,wanamhitaji.

NAFUNGUA MJADALA.

Viol wa JF.
Amelaaniwa amtegemeae Mwanadamu kuwa Kinga yake AKIFA????!!!!
 
Back
Top Bottom