Mr Mayunga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 313
- 40
Kwani viwanda ulivyovitaja hapa vilikuwa vinamilikiwa na Ndesa Pesa?Mheshimiwa tunaomba utusaidie sana,ajira ni tatizo kubwa hapa moshi mjini kwa mawazo haya tatizo lingeweza kupungua.Tufufuliwe viwanda vilivyokufa hapa Moshi,kama kile cha Magogo,Magunia N.k.Nasema viwanda kwasababu ni sekta ambayo inaouwezo wakuajiri watu wengi mno.
Mheshimiwa tunaomba utusaidie sana,ajira ni tatizo kubwa hapa moshi mjini kwa mawazo haya tatizo lingeweza kupungua.Tufufuliwe viwanda vilivyokufa hapa Moshi,kama kile cha Magogo,Magunia N.k.Nasema viwanda kwasababu ni sekta ambayo inaouwezo wakuajiri watu wengi mno.
Hahahahaaaa unamuita dogo waweza kuta mzee masawe......!!!!Halafu umefungua thread kuhusu Mbowe atengeneze ajira HAI sasa umekuja na hii unataka ni dogo!
c/o Angel msoffe: mzee ndesa alishaomba kibali tn bungeni apewe ruhusa ya kufufua kiwanda cha magunia kwa pesa yk serikali ikamkatalia, ila MOSHI SI HABA MZEE KAJITAHIDI SANA.
Mheshimiwa tunaomba utusaidie sana,ajira ni tatizo kubwa hapa moshi mjini kwa mawazo haya tatizo lingeweza kupungua.Tufufuliwe viwanda vilivyokufa hapa Moshi,kama kile cha Magogo,Magunia N.k.Nasema viwanda kwasababu ni sekta ambayo inaouwezo wakuajiri watu wengi mno.
Si ni mbunge wako? Mwendee nyumbani kwake usitujazie server kwa post zisizo na tija.
Besides, tatizo la ajira ni la kitaifa ulipaswa umwambie Mkwre sio Ndesa Pesa
Lema amekuwa mbunge kwa kipindi cha mwaka mmoja mpaka sasa kama ni ahadi ni vizuri tukaanza na alizotoa JK miaka sita iliyopita (tangu 2005)Sasa mbona Lema alisema wakati wa kampeni akichaguliwa kuwa mbunge wa Arusha mjini, atajenga Machinga Complex mbili pamoja na Barabara za juu