mi natamani ningemkamata buku 7 mmoja..., hakyanane ningemstaafisha hapo hapo.Na ww acha kulalamika
Umerudi wwNahama CHADEMA
Acha uchochezi!!Mimi nikiwa mmoja wa makamanda haswa wa chadema,napata ghadhabu sana kuona viongozi wetu mnakuwa watu wa kulalamika kila siku hamchukui hatua kutokana na ukandamizaji wa democrasia.
Haiwezekan Rais akatuzuia kufanya siasa halafu yeye anazunguka nchi nzima anapiga kampeni nyie mnakaa mnalalamika.
Kwani haki ya kufanya siasa ni hisani ya Rais au ni takwa la kikatiba? u wapi ukamanda wenu? ni katika kulalamika? hatua gani mnachukua za kisheria?
Ifike mahala mjue kuna mamilioni ya watu tulioweka matumaini kwenu! Kwa staili hii ya kulalamika,tunazidi kumpa John kiburi anazidi kutusigina kila siku.
we si kamanda umechukua hatua gani?Mimi nikiwa mmoja wa makamanda haswa wa chadema,napata ghadhabu sana kuona viongozi wetu mnakuwa watu wa kulalamika kila siku hamchukui hatua kutokana na ukandamizaji wa democrasia.
Haiwezekan Rais akatuzuia kufanya siasa halafu yeye anazunguka nchi nzima anapiga kampeni nyie mnakaa mnalalamika.
Kwani haki ya kufanya siasa ni hisani ya Rais au ni takwa la kikatiba? u wapi ukamanda wenu? ni katika kulalamika? hatua gani mnachukua za kisheria?
Ifike mahala mjue kuna mamilioni ya watu tulioweka matumaini kwenu! Kwa staili hii ya kulalamika,tunazidi kumpa John kiburi anazidi kutusigina kila siku.
UNALALAMIKA NINI UNATAKA WAWE KAMA ODINGA?Mimi nikiwa mmoja wa makamanda haswa wa chadema,napata ghadhabu sana kuona viongozi wetu mnakuwa watu wa kulalamika kila siku hamchukui hatua kutokana na ukandamizaji wa democrasia.
Haiwezekan Rais akatuzuia kufanya siasa halafu yeye anazunguka nchi nzima anapiga kampeni nyie mnakaa mnalalamika.
Kwani haki ya kufanya siasa ni hisani ya Rais au ni takwa la kikatiba? u wapi ukamanda wenu? ni katika kulalamika? hatua gani mnachukua za kisheria?
Ifike mahala mjue kuna mamilioni ya watu tulioweka matumaini kwenu! Kwa staili hii ya kulalamika,tunazidi kumpa John kiburi anazidi kutusigina kila siku.
Tumesubiri tamko kutoka juu kamanda
Nenda kaandamane, kwani lazima uende na wenzako?Mimi nikiwa mmoja wa makamanda haswa wa chadema,napata ghadhabu sana kuona viongozi wetu mnakuwa watu wa kulalamika kila siku hamchukui hatua kutokana na ukandamizaji wa democrasia.
Haiwezekan Rais akatuzuia kufanya siasa halafu yeye anazunguka nchi nzima anapiga kampeni nyie mnakaa mnalalamika.
Kwani haki ya kufanya siasa ni hisani ya Rais au ni takwa la kikatiba? u wapi ukamanda wenu? ni katika kulalamika? hatua gani mnachukua za kisheria?
Ifike mahala mjue kuna mamilioni ya watu tulioweka matumaini kwenu! Kwa staili hii ya kulalamika,tunazidi kumpa John kiburi anazidi kutusigina kila siku.
Uliingia lini CHADEMA mpaka leo iwe unahama??Nahama CHADEMA