CHADEMA mnamkomboa nani?

hatari heri shetani kuliko cdm!? Lkn kila raia anauhuru wa kutoa mawazo yake.
 
Hata nyie magamba mtakombolewa tu kutoka kwenye huo utumwa wenu wa fikra za kifisadi.KUMBUKA MUNGU HUWANYESHEA MVUA WENYE HAKI NA WASIO HAKI.
 
hatari heri shetani kuliko cdm!? Lkn kila raia anauhuru wa kutoa mawazo yake.

Shetani wa watz ni ccm na vitendo vyake vya kifisadi,ujangili,uuzaji wa dawa za kulevya,ubakaji,mauaji ya raia kupitia ccm na tissiem,uchawa (kumbuka chenge bungeni) na kila aina ya uchafu.2015 huyu ibilisi ccm tutamtupa kwenye ziwa la moto ambako mafisadi na vibaraka vyake kama wewe mtalia kilio cha kusaga meno.
 
Yatupasa kuwa makini na siasa hizi kwani pasipo umakini mkubwa tutaiangamiza nchi yetu, kikubwa ni kupata viongoz walio makini kwa maslahi ya nchi yetu.
 
 
77%......
 
Hahaha hahaha hahaha magamba ni chama kinacho endeshwa katika misingi ya ubakaji wa wasichana chini ya miaka 18...wizi, ufisadi, rushwa , uongo, umbeya , unafiki, uchawi na uzandiki.

Na cdm kinaendeshwa kwa wizi wa wake za watu.!
 

Inamaana mtoto wa mbowe anaesoma uingerza ameisha kombolewa?
 
sijaona mantiki wala hoja yoyote ktk uzi wako. Jitahidi kuwa karibu na wanafalsafa ili wakusaidie ''kureason''.
 

Chadema ni saccos ya wapiga dili! Mpaka hao wanaojiita makamnda(wengine hawajapitia hata mgambo) waje kushtuka wanakaskazini watakuwa wameshapiga hela kinoma!
 

Kumbe ni chama cha wapiga dili sio! Ama kweli chadema mmetokota! Hamna dili! Kutwa Kapuya,ndicho mlichoanda ktk sera zena tangua kuanzishwa hiyo chagadema?
 
CCM ndo inamalizia muda wake.Mwaka 2015 ndo kwisha habari yake. Ccm kimekuwa ni chama cha WEZI,WABAKAJI,MAJANGIRI,WAUAJI WA KUTUMIA Polonium NA MABOMU,WATEKAJI WA WATU NA KUUWA NA KUJERUHI,WARUTUBISHAJI WA RUSHWA NCHINI and more to come .............. Ni bora shetani kuliko CCM ya JK.
 

Dah! Pole kaka kwa kuwa na mawazo finyu sana namna hiyo ktk karne hii! Kumbuka kuwa hili ni jukwaa la THE GREAT THINKERS! I hope you are not among them,ndio maana umelichagua li shetani CCM! Pole sana!
 
mimi mwenyewe mwanafalsafa,sihitaji wanafalsafa uchwara

Wanafalsafa uchwara ni wepi? Nilichokushauri uwe karibu na wanafalsafa, sijakuelekeza uende kwa nani wala kukutajia ni yupi. Pole ndg yangu naona umehamaki.
 
Kunawatu wao wanawajua waliopanga kuwakomboa majina yapo kwa mzee slaa.
 

Komba alishaimba CCM ina wenyewe....na wapinzani tunajua kuwa CCM ina wenyewe......
Kama hujui,utaishia kulamba buku saba lakini chama kina wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…