Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,744
- 5,769
Nyie ndio chama kikuu cha upinzani kwa sasa, lakini inaonena hali si shwari kabisa. Wanachama wanawakimbia nyie mnatoa kisingizio kuwa wananunuliwa(ushahidi haupo)
Viongozi wenu wanahukumiwa kwa kosa la jinai nyie mnaleta propaganda,mara account zimefungwa, tumechangiwa na wananchi n.k
Wananchi wanaona kama wazee wa kupiga ili kujaza matumbo yenu tu(hawana imani na nyie tena) Wala hamhangaiki.
Uchaguzi umekaribia mmebaki kuleta visingizio vya tume huru(mmekubali kushindwa)
Sasa ni kama hamna mikakati kabisa. Au ndio kusema Dk Slaa aliondoka na mikakati madhubuti!