Ndo maana nimeuliza, CDM mmeshindwa Siasa?
Wajibu wa chama cha siasa ni kuwaoganize Wananchi, lakini huwezi ku organize ukiwa nyuma, bali ukiwa mstari wa mbele.
Kama mnasema Watanzania siyo wa kuwapigania, basi huko ndo kushindwa siasa. Sasa mnatafuta maridhiano ya nini?
Hapo ndipo mnapofeli CDM.
Ninyi ndo mlioiva kiitikadi. Badala ya ninyi kuongoza maandamano, kinyume chake mnasema eti kila Raia apambane yeye mwenyewe. Huku ni kukwepa majukumu yenu ya Msingi katika siasa kwa kisingizio hicho.
Wanachi watawaunga mkono ikiwa tu kwanza ninyi wenyewe mmeonesha nia hiyo kwa vitendo.
Mtu atakupokea jembe kulima shamba ukiwa shambani, na siyo nyumbani.
Kulikuwa na tamko kuwa mwisho wa mwezi huu kutakuwa na kikao cha kamati kuu ya chadema. Sijui kitakuwepo!
Bora kifanyike ili maamuzi mazito yatolewe wafuasi waingie front. Uchagizi mkuu umekaribia sanaKipo
Kipo usiwe na haraka.
Hayo nayajua, swali langu ni kwamba, kama ndivyo, je, CDM sasa tumekubali yaishe?Kwa taarifa yako, watu wamefungwa, wamepata vilema vya maisha na ww haukuonekana. Umebaki unaagiza tu wakati huna mchango wowote. Akina Mbowe si ndio walipewa mpaka kesi ya ugaidi kwa kufanya makongamano ya katiba mpya huku serikali ikiwa imekataza mikutano? Huko mahakamani hakimu si ndio alikuwa anatupilia mbali mapingamizi ya CDM, huku akikubaliana na ushahidi wa jamhuri hata kwa ushahidi uliokuwa unaonyesha ni wa kutunga kabisa? Inshort uko kinadharia zaidi lakini huna lolote ujualo.
Wewe uliwahi kuwaunga mkono CDM?Hapo ndipo mnapofeli CDM.
Ninyi ndo mlioiva kiitikadi. Badala ya ninyi kuongoza maandamano, kinyume chake mnasema eti kila Raia apambane yeye mwenyewe. Huku ni kukwepa majukumu yenu ya Msingi katika siasa kwa kisingizio hicho.
Wanachi watawaunga mkono ikiwa tu kwanza ninyi wenyewe mmeonesha nia hiyo kwa vitendo.
Mtu atakupokea jembe kulima shamba ukiwa shambani, na siyo nyumbani.
Shida ya sisi Watanzania ni kwamba, linaulizwa swali la Msingi, majibu mepesi kama unyoya.Tofautisha ujinga na hekima. Viongozi wa CHADEMA wamefunguliwa kesi ngapi?. CHADEMA waliitishha ukuta nyie wenyewe mkawacheka, mkawa mnadai mnasubiri kuona wanavyopewa kipondo.
Mbowe alipokuwa na kesi ya ugaidi ulifika hata mahakamani?. Punguza unafiki , vyama vipo vingi , nenda TLP au NCCR , CHADEMA haitaki wanafiki Kama wewe.
CDM inaweza kuwa na Wanachama wasiopungua 5,000,000 au zaidi Nchi nzima, je, ni lini waliandamana Wanachama hao wote 5000000 wakapigwa risasi au wakawafunga wote gerezani?Lazima ujue Mazingira ya Sasa hayaruhusu hivyo. Kuwazuia watu kufanya mikutano ya kisiasa kwa miaka Saba Sasa umeua Political consiousness ya watanzania. Pia political consiousness imekufa baada ya CCM na serikali awamu ya tano kutumia dola kupambana na CHADEMA. Interest ya siasa za upinzani ni Kama zilikuwa labled Kama uasi. Ndio maana wengine walihamia Chama tawala ili wawe safe wasifuatiliwe.
Kufa kwa political consiousness miongoni mwa watanzania kumpeleka kutokuwa na interest hata kwenye chaguzi uwe mkuu au mdogo. Ndio maana leo hata chaguzi ndogo zinafanyika lakini hamna mwenye muda nazo.
Kipindi Cha kikwete political consiousness ilikuwepo ndio maana Kuna kipindi chaguzi ndogo zilikuwa zinafuatiliwa Sana maana ushindani ulikuwa mkali.
Tukiendelea na ujinga huu wa kutaka vyama vya siasa visifanye mikutano Miaka kumi ijayo rais ataamuliwa na watu laki tano, maana hata uchaguzi mkuu Hakuna atakaye ufuatilia na kushiriki tuendeleee na kiburi.
Umejibia vema mkuu,uzuzu wenye uoga wa mtoa hoja hii ndio tatizo kubwa, yeye analala na kujificha chini ya uvungu wa kitanda huku akitegemea CDM ndio impiganie haki zake, kutwa kulalama humu wakati wana uoga wa kipuuzi, push back kwa haki yako sio kutegemea upiganiweAkili chafu kama zako ndio zinakwamisha maendeleo ya nchi , wengi wenu hudhani hizi siasa ni za CCM Vs chadema wakati raia mnaopiganiwa haki zenu mmelala vitandani.
Raia pigania haki zako usitegemee chadema.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wewe binafsi umefanya push back kwa hayo uliyoyaandika ?,au ndio kufwata mkia wako ukitegemea wengine wakupiganie,Shida ya sisi Watanzania ni kwamba, linaulizwa swali la Msingi, majibu mepesi kama unyoya.
Issue ya kubambikiwa kesi na takataka zote za watawala tunazijua, sasa je, kwa hiyo CDM tumekubali yaishe?
Hata wewe mwenyewe hujielewi.Watanzania wenyewe hamueleweki .
Wananchi wapi Sasa kama hatujaaza na wewe mwanainchi Kisha wananchi punguza uzwazwaHapo ndipo mnapofeli CDM.
Ninyi ndo mlioiva kiitikadi. Badala ya ninyi kuongoza maandamano, kinyume chake mnasema eti kila Raia apambane yeye mwenyewe. Huku ni kukwepa majukumu yenu ya Msingi katika siasa kwa kisingizio hicho.
Wanachi watawaunga mkono ikiwa tu kwanza ninyi wenyewe mmeonesha nia hiyo kwa vitendo.
Mtu atakupokea jembe kulima shamba ukiwa shambani, na siyo nyumbani.
Hayo nayajua, swali langu ni kwamba, kama ndivyo, je, CDM sasa tumekubali yaishe?
Mzee refer kipind kilichopita mpaka wakauawa, fungwa gerezani, teswa, tekwa, pigwa na polisi, je ulijitokeza kuwasapoti?Ndo maana nimeuliza, CDM mmeshindwa Siasa?
Wajibu wa chama cha siasa ni kuwaoganize Wananchi, lakini huwezi ku organize ukiwa nyuma, bali ukiwa mstari wa mbele.
Kama mnasema Watanzania siyo wa kuwapigania, basi huko ndo kushindwa siasa. Sasa mnatafuta maridhiano ya nini?
Hapa uko sawa. Maridhiano ya kinafiki yamekotuloza chama pendwa cha Chadema.Nadhani pona pona ya CCM kwa Sasa ni CHADEMA kutokuwa na kauli. Ndio maana wamewaficha kwenye maridhiano ya kinafiki. Kusema ukweli haya maridhiano yatazama na CHADEMA Kama hawatawastukia CCM mapema.
We mjinga Kwanza Mimi sio CDM na sina chama.Hapo ndipo mnapofeli CDM.