kirahisi kiasi hicho?Hakuna ubishi CDM ni chama mbadala kitakachorudisha tumaini lililopotea baada ya 50yrs.Imebaki kazi moja tu ya kuwaamsha Wtz walioko vijijini,na kazi hii ianze haraka iwezekanavyo kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
CDM ikizoa vitongoji,mitaa na vijiji vingi kama sio vyote itakuwa ni dalili za mwisho za kukamilika safari ya kuelekea Magogoni.Wananchi wamewashika,nanyi shikamana.
Point.hilo nalo neno mkuu; lazima kujikita huko vijijini ambako bado watu hawajaamka bado viva chadema
chadema bado sana!!
chadema bado sana!!