Tatizo la chadema ni ukanda,ubinafsi na udini
Tatizo la chadema ni ukanda,ubinafsi na udini
Let us be serious, CHADEMA mwaka 2010 nilifunga safari kutoka mikoani kilomita 700 kuja Ubungo ili niwapigie CHADEMA kura za urais, ubunge na diwani. Nilijivunia kwa ushindi wa Boniface Jacob (diwani)na John Mnyika (MB) kwa ushindi wao maana na mimi nilishiriki, hata Dr. Slaa pia nilifurahi japo hakushinda. Mwaka huu kama watajiingiza mkenge wa UKAWA na Mgombea asiwe wa CHADEMA mimi kura zangu zote nawapa mafisi. Potelea mbali
sasa wewe ccm mambo ya upinzani yanakuhusu nini? mwaka huu lazima suluali ziwashuke maana mmehangaika kweli .mara utasikia oooo sijui NCCR ,OOOO MARA CUF itakufa . sasa kama upinzani unakufa si muwaache wafe ili msipate shida?Kwa mambo jinsi yanavyoenda ndani ya Ukawa na fununu zilizopo juu ya huo Muungano sina budi kusema kwamba Chadema mmeingia choo cha kike.
Nasema hivo sababu mmetumia nguvu nyingi kujenga chama na sasa chama kinafahamika mpka kule litokela kwa bibi yangu.Hakika nguvu yenu ni kubwa sana lakini kwa hali ilivyo sasa nahisi mtapoteza nguvu na uaminifu mlionao kwa watu kama mtashindwa kutoka hapa.
Mwaka huu Chadema ulikua mwaka wenu bila ukawa wala nguvu ya chama chochote kile mngechukua majimbo mengi sana na madiwani wa kumwaga. Ila kwa mtindo huu ambao mliufanya sijui bila kuangalia madhara yake ya sasa utawaangusha.
Let us be serious, CHADEMA mwaka 2010 nilifunga safari kutoka mikoani kilomita 700 kuja Ubungo ili niwapigie CHADEMA kura za urais, ubunge na diwani. Nilijivunia kwa ushindi wa Boniface Jacob (diwani)na John Mnyika (MB) kwa ushindi wao maana na mimi nilishiriki, hata Dr. Slaa pia nilifurahi japo hakushinda. Mwaka huu kama watajiingiza mkenge wa UKAWA na Mgombea asiwe wa CHADEMA mimi kura zangu zote nawapa mafisi. Potelea mbali
Tuambie ni dini gani na kanda ipi pia ubinafsi upi? Naona wewe ni mtu usiyefikiria so sisi tutafikiri kwa ajili yako.mbeya kuna wabunge wa chadema mwanza,arusha,singida,na kote tz. Usifate mkumbo jtambue!