paul nsangu
Senior Member
- Nov 23, 2012
- 179
- 32
Vijana zingatieni masomo. Msikubali kulaghaiwa na wanasiasa...
Vijana zingatieni masomo. Msikubali kulaghaiwa na wanasiasa...
wamekuwa watoto? Kwenda zako,wivu tu inakusuta
Hii imetulia! FILAMU ya Lwakatare haiwasaidii tu!
Vijana zingatieni masomo. Msikubali kulaghaiwa na wanasiasa...
Wewe umesoma?? Uko makini au unachumia tumbo?? Magamba filamu zenu hazina soko.
Vijana zingatieni masomo. Msikubali kulaghaiwa na wanasiasa...
Vijana zingatieni masomo. Msikubali kulaghaiwa na wanasiasa...
Kelele za chura! Hivi wewe unajua maana ya elimu? Atleast hawa vijana wanaonyesha there social function kama vijana, na siyo kama wasomi, kwa sababu usomi ni kitu kingine kabisa hapa.
Sasa unaweza kuniambia what is the social function of an educated person in our society? Kwa mfano, wewe ni architech, what is the social function of your architech apart from kugonga mihuri ya michoro uliyo desa?
Nachotaka ni kwambia ndugu yangu, swala la elimu ya mtu najinsi huyo mtu au kikundi cha watu wanavyoitumia varies so much in african society, too dynamic, and too misallocated, and so is and should be a mattter of debate
African are so misinformed about so many things that are going on in this world.
Waache vijana wapiganie haki zao wanazoona wanastahili.
Haki yao ya kwanza ni kutafuta elimu ya chuo kikuu. Hicho ndicho kilichowaweka hapo chuoni. Haya mambo ya kumtafutia Dr. Slaa pesa za kujikopesha wakilifanya muhimu kuliko masomo yao WATAPOTEA na baadae wataishia KUJUTA...
Vijana zingatieni masomo. Msikubali kulaghaiwa na wanasiasa...
Vijana zingatieni masomo. Msikubali kulaghaiwa na wanasiasa...
We gamba funga bakuli lako. Nina offer ya bia na kitimoto pale Rainbow. Tukutane saa 12 jioni.
Nani alikwambia CHASO inamfanya mwanafunzi asizingatie masomo?.