CHADEMA Mkituangusha hatutawasamehe

Turudi kwenye utamaduni wetu, kulinda kura kwa nguvu zote.
Tume huru ya uchaguzi imekuwa ni hadithi.
Tutumie wingi wetu kulinda kura na kulazimisha kutangaza matokeo, ili kudhibiti dhuluma za MaCCM!!
Kampeini ya mtaa kwa mtaa irudi muda hautoshi, kazi ni sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…