Chadema hawana sifa za kuongoza dola huo ndiyo ukweli.
Samahani RITZ kwani kuongoza dola kuna shule maalum ambayo viongozi wa CHADEMA wanatakiwa waende kama walivyokwenda viongozi wa CCM?
Hakuna anayeweza kuzuia nguvu ya umma.
Kuongoza dola mpaka upate ridhaa ya wananchi na ukubalike Tanzania nzima siyo ukanda mmoja na tabaka moja.
Dola sio kichwa cha mwendawazimu. Huwezi kuwapa watu wafanyie majaribio.
Samahani ZeMarcopolo kwani anaetoa ridhaa ya chama fulani kuongoza Dola ni nani?
Dola sio kichwa cha mwendawazimu. Huwezi kuwapa watu wafanyie majaribio.
In theory ambayo wengi wanaiamini ni wapiga kura.
In reality inategemeana na hali ya nchi.
Samahani sana tena sana sana ZeMarcopolo utueleweshe kuhusu Somo la uraia jinsi chama cha siasa kinavyopata ridhaa ya kuongoza DOLA. Narudia tena samahani kama nimekukwaza kwa lolote lile. No one is perfect... That's why pencils have erasers.
Inategemea na hali ya nchi????????
Chadema hawana sifa za kuongoza dola huo ndiyo ukweli.
mzeluu Nara ferre.g Ruttashobolwa na wengine ni lazima tukubali kwamba kuna mahali CHADEMA wanakosea. Hebu tuambiane ukweli hata wale wanaojidai kwamba ni wapiganaji damudamu ni kwa nini thread zinazohusu ujenzi wa CHADEMA huwa hawazichangii?
2015 it's not who vote that count ... It's who count the votes... Bila tume Huru na ya Haki ... CDM itahesabu Maumivu ... Kazi Sasa iwe kuakikisha tume Huru inapatikana .. Mengine ni mbwembwe tu
Ni kuongeza nguvu za M4C tu, na kuwaelimisha wapigakura kutoogopa mabomu ya machozi hata ya moto, na badala yake walinde kura zao na kuhakikisha zinasomwa kama zilivyohapo kweli pana kazi ila imani yangu kwa cdm ni kubwa tujitahidi kutoa ushauri ambao ni positive kwa chama