Kuna kazi kubwa inayo takiwa kufanyika makao makuu kwanza, chuki za viongozi zimezidi, mpaka kufikia kutoana roho.
2015 it's not who vote that count ... It's who count the votes... Bila tume Huru na ya Haki ... CDM itahesabu Maumivu ... Kazi Sasa iwe kuakikisha tume Huru inapatikana .. Mengine ni mbwembwe tu
Kuna kazi kubwa inayo takiwa kufanyika makao makuu kwanza, chuki za viongozi zimezidi, mpaka kufikia kutoana roho.
PRESS RELEASE: 'SIRI YA KUUAWA ZITTO'-SIO KWELI
wp.me'SIRI YA KUUAWA ZITTO' Katika gazeti la Mtanzania toleo na. 7269 la Jumatano Machi 27, 2013 kuna habari yenye kichwa chenye maneno ' SIRI YA KUUAWA ZITTO YAFICHUKA' na vichwa vidogo ‘yadaiwa ilipan...
Ni kweli zinazidi zile za CCM; lakini M4C tayari imeiva kwa hiyo itawahusu wapiga kura kwenye maeneo yao na siyo makao makuu na ndiyo demokrasia.Kuna kazi kubwa inayo takiwa kufanyika makao makuu kwanza, chuki za viongozi zimezidi, mpaka kufikia kutoana roho.
2015 it's not who vote that count ... It's who count the votes... Bila tume Huru na ya Haki ... CDM itahesabu Maumivu ... Kazi Sasa iwe kuakikisha tume Huru inapatikana .. Mengine ni mbwembwe tu
Kama kuongoza dola ni maamuzi ya Lumumba ni kweli maneno yako, lakini ni kama kura halali wapiga kura watalinda kura zao na atakaeshika dola ni yule atakaepewa ridhaa na wananchi.Chadema hawana sifa za kuongoza dola huo ndiyo ukweli.