CHADEMA mjitathimini acheni kupokea wanachama wanaokimbia CCM

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,708
Reaction score
8,747
Kadri siku zinavyokwenda tunaona jinsi CHADEMA inavyokimbiwa na wanachama wake hasa wale waliotoka CCM

Wengi wao wanakuja CHADEMA baada ya kupata matatizo CCM ,na bila kutafakari kwa kina wanabebwa tu na kuingizwa chamani bila kuchunguzwa
Mwisho wa siku wakiona hawana maslahi ndani ya chama wanaamua kurudi kwao CCM

Huu utaratibu muuache wa kupokea pokea makada wa CCM wanawaharibia chama manake wengi wanaondoka kwa kutoa maneno machafu dhidi ya CHADEMA

Huyu WEMA mliemkaribisha baada ya kupata matatizo CCM Leo hii kawakimbia na kurudi alikotoka

Mjitathini.
 
Wanafanya CHADDEMA ndo sehemu ya kutolea stress zao
 
hujafuatilia suala hilo! karuhusiwa na chama wanajua kinachoendelea nyuma ya pazia! "amehama" hajahama! nadhani utaelewa!
 
Kadri siku zinavyokwenda tunaona jinsi CHADEMA inavyokimbiwa na wanachama wake hasa wale waliotoka CCM

Wengi wao wanakuja CHADEMA baada ya kupata matatizo CCM ,na bila kutafakari kwa kina wanabebwa tu na kuingizwa chamani bila kuchunguzwa
Mwisho wa siku wakiona hawana maslahi ndani ya chama wanaamua kurudi kwao CCM

Huu utaratibu muuache wa kupokea pokea makada wa CCM wanawaharibia chama manake wengi wanaondoka kwa kutoa maneno machafu dhidi ya CHADEMA

Huyu WEMA mliemkaribisha baada ya kupata matatizo CCM Leo hii kawakimbia na kurudi alikotoka

Mjitathini.
Mku kuwa mpinzani unatakiwa kukubali matokeo sasa wengine hawawezi kuishi hayo maisha ya kutokujifunza kuishi.Na ukiweza kuishi haya maisha ya kutokujifunza lazima umma ulioonewa na kuibiwa kwa miaka mingi ukueshimu kwani umma unajua madhila wayokutana nayo
 
Mkuu chadema ni kichwa cha mwendawazimu kila mwenye kujifunza kunyoa anakimbilia huko.
 
Kuondoka kwa haya makapi toka ccm ndio itakuwa sababu nzuri ya kumpiga Mbowe chini maana amegeuza chama kuwa kijiwe cha machokoraa. Chokaraa anakimbia nyumba yao ya machokoraa huko ccm kisha Mbowe anawapokea na mpaka kuwapa madaraka. Sasa ni zamu yake kupumzika.
 
ninavyojua Mimi ni kuwa:-

CCM Ina vijitawi vingi sana vidogo vidogo vijulikanavyo kama vyama vya upinzani, maamuzi ya CCM huathiri sana haya matawi yake,
In short hakuna upinzani Tanzania Ila kuna washenga wa Uchaguzi tu.
hivi kama mko serious na ukombozi mnawezaje kuzuiliwa mikutano ya siasa ambayo ni haki yenu kikatiba? and you obeyed it?
Mimi nlishaachana upinzani baada tu ya kumpokea lowassa waliye mtukana na kujiapiza majukwaani kuwa yeye ni fisadi LA kutupwa nchi nzima.
Ngojeni sizonje awachezeshe kibinda nkoyi mpaka ziwakae wanafiki wakubwa nyie!!
 
Kadri siku zinavyokwenda tunaona jinsi CHADEMA inavyokimbiwa na wanachama wake hasa wale waliotoka CCM

Wengi wao wanakuja CHADEMA baada ya kupata matatizo CCM ,na bila kutafakari kwa kina wanabebwa tu na kuingizwa chamani bila kuchunguzwa
Mwisho wa siku wakiona hawana maslahi ndani ya chama wanaamua kurudi kwao CCM

Huu utaratibu muuache wa kupokea pokea makada wa CCM wanawaharibia chama manake wengi wanaondoka kwa kutoa maneno machafu dhidi ya CHADEMA

Huyu WEMA mliemkaribisha baada ya kupata matatizo CCM Leo hii kawakimbia na kurudi alikotoka

Mjitathini.

wasiwakatae wawachukue tu lakini wawachukulie kama wanachama wa kawaida wasiwapokee kwa mbwembwe na na uzito ona sasa alichowafanya Wema makamanda leo ni mwendo wa povu tu leo madam kawapa kazi patachimbika
 
Makamanda wanasema hakuna kama Mbowe, eti Wema katumwa tu afanye kazi ya Chadema akiwa CCM.
 
Kadri siku zinavyokwenda tunaona jinsi CHADEMA inavyokimbiwa na wanachama wake hasa wale waliotoka CCM

Wengi wao wanakuja CHADEMA baada ya kupata matatizo CCM ,na bila kutafakari kwa kina wanabebwa tu na kuingizwa chamani bila kuchunguzwa
Mwisho wa siku wakiona hawana maslahi ndani ya chama wanaamua kurudi kwao CCM

Huu utaratibu muuache wa kupokea pokea makada wa CCM wanawaharibia chama manake wengi wanaondoka kwa kutoa maneno machafu dhidi ya CHADEMA

Huyu WEMA mliemkaribisha baada ya kupata matatizo CCM Leo hii kawakimbia na kurudi alikotoka

Mjitathini.
Wapokee wanaotoka wap sasa?
 
Back
Top Bottom