Chadema mjiandae kupokea makapi toka CCM

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
kwa jinsi navyoona CCM kinavyotaka kusafisha kwa wale wanaojifanya wanaccm mjana usiku wapo upande wa pili watakosa madaraka kwenye chama.
nauhakika wataenda chadema muandae nafasi zao.
 
Ccm wakiamua kusafisha watakaobakia ndani ya chama ni 40%, tu hao 60%,wote wataanzisha chama chao cha mafisadi. Sidhan kama wataenda chadema kwa sbb watakuwa wengi mno
 
kwa jinsi navyoona CCM kinavyotaka kusafisha kwa wale wanaojifanya wanaccm mjana usiku wapo upande wa pili watakosa madaraka kwenye chama.
nauhakika wataenda chadema muandae nafasi zao.
Mwenyekiti wa ccm ni Mmiliki wa Richmond huku katibu mkuu anamiliki meli ya kontena za meno ya Tembo, msemaji wa chama kapiga pesa za kampeni na Udalali wa kuwanunua Slaa na lipumba huku wengine waliobaki walikula pesa za Escrow, kivuko feki, mabehewa mabovu, wizi wa makontena bandani, mikataba ya gesi, madini na michongo ya ajabu ajabu, ccm hakuna Msafi hata mmoja wote wana madhambi wakiamua kusafisha itabidi woote watoke watafute watu wapya kabsa.
 
Ccm wakiamua kusafisha watakaobakia ndani ya chama ni 40%, tu hao 60%,wote wataanzisha chama chao cha mafisadi. Sidhan kama wataenda chadema kwa sbb watakuwa wengi mno
99% wamechafuka hakuna msafi ccm inabidi style wa marehemu Bingu mutharika wa Malawi itumike, Magufuli aanzishe chama chake kipya kabsa.
 
Back
Top Bottom