Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,800
- 71,220
Utachekesha sana kama utashangazwa na hiyo asilimia kutokea CCM. Kwani hapo awali kulikuwa na chama gani zaidi ya CCM?Unachekesha kweli. Asilimia 98 ya wanachadema ni wasaka tonge waliotokea ccm. Sasa unatueleza nini. kajifunze kujenga hoja bado haujashawishi watu
Hilo swali lingekuwa miaka 20 ijayo linaweza kuwa na maana
Sent using Jamii Forums mobile app