T Tunkamanini JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 377 Reaction score 93 Apr 9, 2015 #21 pwanikwetu said: Kuna tetesi pia kuwa mchumba wa dr. Slaa, mushumbusi kugombea kawe na mdee kupigwa chini Click to expand... Hiyo na mm nimeickia kwa m/kiti mmoja wa mtaa anaongelea hyo habar pia nackia mpk sasa kuna mgogoro mkubwa baina ya wawili hao
pwanikwetu said: Kuna tetesi pia kuwa mchumba wa dr. Slaa, mushumbusi kugombea kawe na mdee kupigwa chini Click to expand... Hiyo na mm nimeickia kwa m/kiti mmoja wa mtaa anaongelea hyo habar pia nackia mpk sasa kuna mgogoro mkubwa baina ya wawili hao
R Richard Robert JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 632 Reaction score 340 Apr 9, 2015 #22 flagysyrup said: Mdee njoo ACT ugombee jimbo hilo hilo la kawe tunakupa tena ubunge Click to expand... Kumbe ACT inaubavu wa kuwapa watu ubunge?!! Chama hiki ninamashaka nacho.
flagysyrup said: Mdee njoo ACT ugombee jimbo hilo hilo la kawe tunakupa tena ubunge Click to expand... Kumbe ACT inaubavu wa kuwapa watu ubunge?!! Chama hiki ninamashaka nacho.
J Jenerali Ambamba JF-Expert Member Joined Sep 8, 2014 Posts 3,344 Reaction score 2,537 Apr 9, 2015 #23 Raia mwema la sasa hovyo sana...
R Richard Robert JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 632 Reaction score 340 Apr 9, 2015 #24 pwanikwetu said: Kuna tetesi pia kuwa mchumba wa dr. Slaa, mushumbusi kugombea kawe na mdee kupigwa chini Click to expand... Kuna tetesi kuwa Zitto ataoa mtoto wa kigogo wa CCM baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
pwanikwetu said: Kuna tetesi pia kuwa mchumba wa dr. Slaa, mushumbusi kugombea kawe na mdee kupigwa chini Click to expand... Kuna tetesi kuwa Zitto ataoa mtoto wa kigogo wa CCM baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
R Richard Robert JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 632 Reaction score 340 Apr 9, 2015 #25 Tunkamanini said: Hiyo na mm nimeickia kwa m/kiti mmoja wa mtaa anaongelea hyo habar pia nackia mpk sasa kuna mgogoro mkubwa baina ya wawili hao Click to expand... Wengi wanamashaka na Zitto hasa ukaribu wake na vigogo wa CCM - AMBAO WANAAMINIKA KUIFADHILI ACT.
Tunkamanini said: Hiyo na mm nimeickia kwa m/kiti mmoja wa mtaa anaongelea hyo habar pia nackia mpk sasa kuna mgogoro mkubwa baina ya wawili hao Click to expand... Wengi wanamashaka na Zitto hasa ukaribu wake na vigogo wa CCM - AMBAO WANAAMINIKA KUIFADHILI ACT.
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Apr 9, 2015 #26 Nimeandaa Passport na nauli za kuwa mkimbizi UK baada ya 30th Oct, 2015