CHADEMA Mara yasitisha ziara mkoa mzima

cheap popularity.

 
Kajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe!! Lowasa anafurahi sana
 

Sawa ni wajibu wake, ulimsikiza kauli yake aliyoitoa? au mwenzangu nimekupa kitu ambacho hukielewi hata kidogo. Na je ajali hiyo unadhani ilisababishwa na kutofanyiwa.service mabasi hayo ama uchakavu?

Naomba fuatilia vizuri taarifa hii utaelewa vizuri na huenda utajua cha kuchangia katika mada. Sory for this.
 
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa tunamuomba Mungu azipokee roho za marehemu huko mbinguni wapumzike kwa amani Amina!
 
Ajali imetokea mbio za mwenge zikiwa mkoani Mara na mikesha ya muziki usiku kucha kama kawaida,
 
Chadema wanatafuta cheap popularity kwnye roho za watu

Ndugu hata kwenye huu msiba mkubwa namna hii unaendelea na propaganda? Tubadilike kidogo! Roho za marehemu zipate rehema kwa Mungu wapumzike kwa Amani Amina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…