Lai Otieno
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 311
- 90
Ofisi ya mnikulu inampango gani,dhidi ya ajali hizi?,au ndo lugha za kila siku,madereva wawe waangalifu?, tulishuhudia ajali ya mv bukoba,mrli za zamzibar,treni ya kati,mabasi mengi kugongana,Lakini serikali hii haina tafiti,haina suluhu ni serikali inayolalamika tu!.Kamanda poleni sana Tuwakumbuke marehemu kwa sala..
Pole nyingi ziwafikie hapo mlipo kwakweli niko mbali ningejitokeza kuchangia damu..Mungu awape wafiwa nguvu ktk kipindi hiki kigumu
Raha ya milele uwape eebwana...
Namwanga wa milele uwaangazie..
Wapumzike kwa amani....Amina
BACK TANGANYIKA
Ofisi ya mnikulu inampango gani,dhidi ya ajali hizi?,au ndo lugha za kila siku,madereva wawe waangalifu?, tulishuhudia ajali ya mv bukoba,mrli za zamzibar,treni ya kati,mabasi mengi kugongana,Lakini serikali hii haina tafiti,haina suluhu ni serikali inayolalamika tu!.
Hivi anajua kuwa raslimali watu imepotea?
Chadema ni chama kinachojali wananchi wote bola kujali itikadi za vyama.
Big up 😛eace:chadema:israel:
ukoo wa panya wameshasema niuzembe wa drivers
Lipi hasa linakupa ujasiri wa kusema hivyo?
Chadema wanatafuta cheap popularity kwnye roho za watu
Chadema mnajifanya kuwa ninyi ni wasamaris kiliko ccm, ongeeni sasa mbona harsoni mwakiembe kafika hadi hospitalini na kutoa maamuzi hapo hapo ya kufungiwa kwa kampuni mbili za mabasi yaliyosababisha ajali hiyo.