CHADEMA kusambaratika kwasababu ya uroho na tamaa ya urais wa viongozi wake

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,455
2,281
Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.

Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa KATIBA na TUME ile ile ya Miaka yote inayowanyima Ushindi hata pale mnaposhinda.

Nawashangaa Viongozi wa CHADEMA badala ya kupigania Kupata WABUNGE na MADIWANI wanapigania nani awe Mgombea Urais Urais ambao CCM hata iweje HAITAUACHIA KAMWE.CCM imegoma Kubadilisha KATIBA na TUME ya UCHAGUZI sio kwa Bahati Mbaya bali kwa MAKUSUDI ili ISHINDE UCHAGUZI 2025.

VIONGOZI wa CHADEMA mnaenda KUKIPASUA Chama chenu kwa Uroho na Tamaa ya URAIS URAIS ambao HAMTAUPATA KAMWE.
 
Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa KATIBA na TUME ile ile ya Miaka yote inayowanyima Ushindi hata pale mnaposhinda.Nawashangaa Viongozi wa CHADEMA badala ya kupigania Kupata WABUNGE na MADIWANI wanapigania nani awe Mgombea Urais Urais ambao CCM hata iweje HAITAUACHIA KAMWE.CCM imegoma Kubadilisha KATIBA na TUME ya UCHAGUZI sio kwa Bahati Mbaya bali kwa MAKUSUDI ili ISHINDE UCHAGUZI 2025.
VIONGOZI wa CHADEMA mnaenda KUKIPASUA Chama chenu kwa Uroho na Tamaa ya URAIS URAIS ambao HAMTAUPATA KAMWE.
Hili mnaliombea sana litokee labda itakuwa salama yenu.Bahati mbaya CDM ipo imara na mchaka mchaka ndio unazidi kupamba moto.
 
Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.

Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa KATIBA na TUME ile ile ya Miaka yote inayowanyima Ushindi hata pale mnaposhinda.

Nawashangaa Viongozi wa CHADEMA badala ya kupigania Kupata WABUNGE na MADIWANI wanapigania nani awe Mgombea Urais Urais ambao CCM hata iweje HAITAUACHIA KAMWE.CCM imegoma Kubadilisha KATIBA na TUME ya UCHAGUZI sio kwa Bahati Mbaya bali kwa MAKUSUDI ili ISHINDE UCHAGUZI 2025.

VIONGOZI wa CHADEMA mnaenda KUKIPASUA Chama chenu kwa Uroho na Tamaa ya URAIS URAIS ambao HAMTAUPATA KAMWE.

Weka reference kabisa by Wassira!, wengi walisema haya unayorudia miaka mingi wakafa wao! Angalia sana mkuu isijekuwa Izrael anakuita hivo.
 
Chadema ukabila na udini unakisumbua sana hiko chama, ukiongeza na suala hilo la uroho wa madaraka na pesa hakuna fala anaweza wapa nchi waongoze.

Same old shit, wenzako wenye nafasi zao walisema sana we unarudia tu! Kuna wenye uroho km ccm, hamuachiani kinywaji mezani veteran wenu alisema. Udini, uzanzibara, usukuma genge, u-mwenzetu upo wapi?
 
"Mambo yanakaribia kwenda kombo. Kwa sababu katika Siasa, kama vile baharini-mawimbi hubadilika-Kaa chonjo na uwe tayari kwa dhoruba" ~

Mazingira katika bahari yetu ya siasa yanachefuka.

CHADEMA haitoweza, kamwe, kushika kiti cha Urais. Ni waharibifu.
 
Na hata Nyerere alipokuwa anadai uhuru walikuwepo watu kama wewe ambao waliamini kuwa mwafrika hawezi kuwa Rais, wao waliamini kuwa ili uwe Rais lazima uwe Mzungu lakini waliaibika. Na wewe endelea na msimamo wako muda ukifika utakuambia wenyewe.
 
Na hata Nyerere alipokuwa anadai uhuru walikuwepo watu kama wewe ambao waliamini kuwa mwafrika hawezi kuwa Rais,wao waliamini kuwa ili uwe Rais lazima uwe Mzungu lakini waliaibika. Na wewe endelea na msimamo wako muda ukifika utakuambia wenyewe.
Tukirudi kwenye hoja, narudia tena CHADEMA haitoweza, kamwe, kushika kiti cha Urais. Ni waharibifu.
 
Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.

Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa KATIBA na TUME ile ile ya Miaka yote inayowanyima Ushindi hata pale mnaposhinda.

Nawashangaa Viongozi wa CHADEMA badala ya kupigania Kupata WABUNGE na MADIWANI wanapigania nani awe Mgombea Urais Urais ambao CCM hata iweje HAITAUACHIA KAMWE.CCM imegoma Kubadilisha KATIBA na TUME ya UCHAGUZI sio kwa Bahati Mbaya bali kwa MAKUSUDI ili ISHINDE UCHAGUZI 2025.

VIONGOZI wa CHADEMA mnaenda KUKIPASUA Chama chenu kwa Uroho na Tamaa ya URAIS URAIS ambao HAMTAUPATA KAMWE.
Hawa viongozi hawana uzalendo na chama chao,nakubaliana kabia kuwa kwa uraisi ni kupoteza muda hawapati wekeni nguvu kwa wabunge na madiwani. Lissu Mbowe tulizeni misuka mpeni dr Silaa mara kumi siyo nyinyi kugombeq urais.
 
Lissu anataka urais,ikitokea vita sijui ataendaje mstari wa mbele, sasa hivi anajifanya kuandamana watu wamuone mzima, kumbe mavyuma yanajikoroga ndani humo, na aombe chadema wenzake wasizue vurugu katika maandamano, wamsukume aaanguke
 
Back
Top Bottom