Mkutano upo mkuu nadhani maripota wa JF wako huko watupe live coverage tafadhali
Nakushukuru kwa kunihakikishia kuwa mkutano upo ila hao makamanda mbona respond yao ni negative?watujuze hayo maandalizi cos nipo hapa viwanja vya bonyokwa naona hakuna kinachoendelea
Nakushukuru kwa kunihakikishia kuwa mkutano upo ila hao makamanda mbona respond yao ni negative?watujuze hayo maandalizi cos nipo hapa viwanja vya bonyokwa naona hakuna kinachoendelea
Tunasubiri picha mdauNipo hapa kimara bonyokwa live,sasa zinaimbwa nyimbo za ukombozi wa taifa juu ya mafisadi,si muda mrefu nawaletea picha
CDM mvute tena hamna!!
Mnatapatapa tu
Chadema kweli mmekosa mvuto. Hebu ona Sredi yenu haina wachangiaji!!!mwaka huu milembe panahusika...
nipo hapa kimara bonyokwa live,sasa zinaimbwa nyimbo za ukombozi wa taifa juu ya mafisadi,si muda mrefu nawaletea picha
Chadema kweli mmekosa mvuto. Hebu ona Sredi yenu haina wachangiaji!!!