CHADEMA lini M4C itatua Rorya?

CHADEMA lini M4C itatua Rorya?

NYAMUNGA ONE

Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
5
Reaction score
1
Viongozi wa CHADEMA ( kamanda Mbowe, Lema, Slaa, Heche, Mnyika na wengineo ni lini operation M4C itatua Rorya? maana ni jimbo linalohitaji ukombozi wa kifikra na kiuchumi.
 
Viongozi wa chadema ni lini operation M4C itatua RORYA? maana ni jimbo linalohitaji ukombozi wa kifikra na kiuchumi walioko madarakani kwa mtazamo wangu naona kama wameshindwa kuleta mabadiliko.
 
Kusema kweli Rorya inataka mabadiliko makubwa sana ukizingatia kwamba ni jimbo pekee ambayo ilikua ngome ya upinzani tangu enzi za MARANDO MABERE, ila kwa ss mambo yamebadilika sn NYINYIEM ndo wameshika hatamu na mbunge kilaza LAKAIRO km kweli M4C ikiamua wanaweza kulirudisha mikononi mwa upinzani coz its posible, RORYA japo ni wilaya lkn haina hata PUBLIC HIGH SCHOOL except KOWAK GIRLS WHICH IS PRIVATE.Wananchi wa wilaya hii most of them ni maskini huku mbunge wao LAKAIRO yuko bize na biashara zake mda ndio huu wa kuleta mabadiliko RORYA
 
Nawashauri makamanda wa Rorya anzeni mdogomdogo, M4C itawakuta mkiwa hatua nyingi mbele, tukisema tuwasubiri waje tutachelewesha ukombozi!
 
Rorya bhana.. yaani std 7 kawazidi ujanja kabisaaa! si mlitaka mbunge atakayejenga mashule, mahospitali na kuleta huduma za jamii kwa pesa zake! mmkachagua tajiri mwenye hela zake. sasa mnalialia nn? kwa mazingira ya huko rorya hata ikija m4c ni bure tu. niamini mimi! lakairo mnamuogopa kama nn sijui. yaan nna hakika hamna kidume jimbo zima la rorya wa kusimama hadharani na kumsema vibaya lameck! mnaishia kumtupia madongo tu hapa jf tena kwa id fake bt hamna kidume wa kuweza kumsema live 'kidume lameck'!
nyie tulieni tu awe mbunge wenu mpaka atakapopenda kuachia jimbo basi ndo mfurukute, bt bila mapenzi yake hilo jimbo kumnyang'anya hamuwezi kwa sasa! hizo ndo gharama za kuchagua kiongozi kwa jeuri ya pesa zake!
eti rorya ukitaka ubunge unaulizwa 'unanini wewe'!? hata kama una phd hawaitaki wao wanataka kuona material things ndo uwe kiongozi wao. tulieni tu huyo ndo mume mliyemchagua, kelele za nini?
 
Back
Top Bottom