hexacyanoferrate
JF-Expert Member
- May 15, 2014
- 1,232
- 792
CCM watu wabaya Sana wanawaingiza watoto wa Shule kwenye vitendo vya hatari Sana,watoto wetu wataumizwa bure,wananchi Wana hasira Sana.
Inaniuma Sana kuwafundisha watoto Tabia za kinyama nmna hii,tunajenga taifa la wadhulumati,walaghai,wezi,wapindisha Sheria.
CCM imefanya uhalifu gani mkubwa ambao inaogopa ikitoka madarakani utajulikana?
Wazazi lalamikeni watoto wenu wasiingizwe kwenye hatari hii.
CCM ni ukoo wa panya mama baba mtoto wote ni wezi ndiyo maana Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa nyingi inapotelea kwenye kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kesi kuihujumu kuidhoofisha na mambo kibao yasiyo na tija kwa Taifa, hawataki maendeleo kabsa hata tule tunaendeleo tudogo twa SGR flyover ununuzi wa Ndege nk kuna 10% zao na ufisadi wa kutisha CCM ni ile ile haijawahi kubadilikaCCM watu wabaya Sana wanawaingiza watoto wa Shule kwenye vitendo vya hatari Sana,watoto wetu wataumizwa bure,wananchi Wana hasira Sana.
Inaniuma Sana kuwafundisha watoto Tabia za kinyama nmna hii,tunajenga taifa la wadhulumati,walaghai,wezi,wapindisha Sheria.
CCM imefanya uhalifu gani mkubwa ambao inaogopa ikitoka madarakani utajulikana?
Wazazi lalamikeni watoto wenu wasiingizwe kwenye hatari hii.
CCM inawarithisha uchawi ushetani watoto kizazi cha keshoWazazi wote Tanzania tuwasiliani na Watoto wetu wasitumiwe na Wahuni wa CCM
EWE MZAZI MPIGIE MWANAO MWAMBIE ASIJIINGIZE KWENYE MAGENGE HATARI YA WANASIASA MUFLISI
UongoKwa tathmini ya harakaharaka inaonesha uchaguzi mwaka huu ni mgumu sana kwa CCM. Siyo kwasababu CCM haijafanya kitu , la , ila ni kwasababu raia wa nchi hii wameichoka kabisa. Ndiyo maana wamejaribu kuonesha na kutangaza miradi mingi iliyofanywa na Serikali yao lakini raia hawaelewi...
CHADEMA fuatilieni hayo na muwe na msimamo thabiti.
Bado unavuta Bangi hapo gheto unaposhinda?Nothing new hizo ni porojo na presha za Chadema
I hope President Magufuli will win the election for more than 98%
Watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi? Kuna usaliti kama kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kuna usaliti kama wa kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara?Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Vipi umemaliza kusafishwa mtaro !Bado unavuta Bangi hapo gheto unaposhinda?
Watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi? Kuna usaliti kama kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kuna usaliti kama wa kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? Wewe ni mnufaika wa ufisadi mkubwa kwenye ununuzi Ndege ujenzi wa reli bwawa la umeme flyover ndiyo maana umejitoa fahamu zote huna unachokijua zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za polepole na mtukufu mwenyekiti wa CCM
CCM watu wabaya Sana wanawaingiza watoto wa Shule kwenye vitendo vya hatari Sana,watoto wetu wataumizwa bure,wananchi Wana hasira Sana.
Inaniuma Sana kuwafundisha watoto Tabia za kinyama nmna hii,tunajenga taifa la wadhulumati,walaghai,wezi,wapindisha Sheria.
CCM imefanya uhalifu gani mkubwa ambao inaogopa ikitoka madarakani utajulikana?
Wazazi lalamikeni watoto wenu wasiingizwe kwenye hatari hii.
Wivu tu unakusumbua, Sasa si huyo Mbeligiji amesema asipotangazwa kuwa mshindi atawaingiza watu barabarani, Sasa hamtatangazwa jiandaeni kuingizwa barabarani tuwasafishe mtaro.Watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi? Kuna usaliti kama kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kuna usaliti kama wa kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? Wewe ni mnufaika wa ufisadi mkubwa kwenye ununuzi Ndege ujenzi wa reli bwawa la umeme flyover ndiyo maana umejitoa fahamu zote huna unachokijua zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za polepole na mtukufu mwenyekiti wa CCM
Huko ubelgiji kama siyo wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje? Huoni kuwa wewe ndiyo umemletea umaarufu kwa mbinu zako za kishetaniWivu tu unakusumbua, Sasa si huyo Mbeligiji amesema asipotangazwa kuwa mshindi atawaingiza watu barabarani, Sasa hamtatangazwa jiandaeni kuingizwa barabarani tuwasafishe mtaro.
Move ya kitoto mliyoitengeneza, upigwe risasi mguu wa kushoto harufa uathirike mguu wa kulia .Huko ubelgiji kama siyo wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje? Huoni kuwa wewe ndiyo umemletea umaarufu kwa mbinu zako za kishetani
Utoto ni kufikiri hicho unachokiongea kuwa ni movie utoto ni kutengeneza propaganda za kishamba kama hii yako, utoto ni CCM kufikiri kuwa watanzania ni wajinga kama waoMove ya kitoto mliyoitengeneza, upigwe risasi mguu wa kushoto harufa uathirike mguu wa kulia .
Watanzania wamejipanga vizuri dhidi ya ghiriba zote hizo na amini nakwambia, CCM hawashindi uchaguzi wa mwaka huu vyovyote vileKwa tathmini ya harakaharaka inaonesha uchaguzi mwaka huu ni mgumu sana kwa CCM. Siyo kwa sababu CCM haijafanya kitu , la , ila ni kwa sababu raia wa nchi hii wameichoka kabisa. Ndiyo maana wamejaribu kuonesha na kutangaza miradi mingi iliyofanywa na Serikali yao lakini raia hawaelewi...