Ndio maana kaka umeona CHADEMA wapo kimya, hawagudi kabisa huko...walishajua mapema nini CCM wanaweza kufanya...Ndio maana unaambiwa kichwa cha kiongozi moja wa CDM sawa na viongozi zaid ya 10 wa CCM..kwa vyovyote vitatafutwa vielelezo hata vya kutengeneza ili kufanikisha hilo. Maana mbele ya CCM kwa sasa adui yake mkubwa ni CHADEMA. Kuna watu wameshare tu na mimi kama sehemu ya hofu yao. So si vema kupuuza. Cha msingi ni kuwa waangalifu tu na kauli zetu. Maana zinaweza kutumika kama ushahidi.
Kufuta CHADEMA au hata kufuta vyama vyote hakitasababisha wananchi kuacha kupigania mabadiliko. Tatizo kubwa watawala wetu hawataki kwenda na wakati. Hawataki kuangalia wanavyofanya wenzao wa mataifa mengine na jinsi ya kutatua migogoro hii. Jambo muhimu hapa ni kupeleka madaraka kwa wananchi zaidi.
Ni vizuri chadema wakapokea ujumbe huu kwa umakini, maana sio tu kufutwa kwa chama ndo kutakiathiri lakini hata hizi propaganda zinazoelekezwa kwake kila linapotokea jambo baya linakiumiza chama ki taswira kwa wananchi..tusiamini sana kwamba kila mtu ameiva na ana uwezo wa kupangua makombora haya
Acha kutisha watu wewe, mahakama inakwenda na facts.si mburura mahakama we trust the judiciary
HUJAELEWEKA MKUU, KAMA CHADEMA IKIFUTWA TUTAPIGANIA UKOMBOZI CHINI YA MWANVULI UPI? NAAMINI KUIFUTA CHADEMA JAPO HAIWEZEKAN NDO ITAKUWA MWANZO WA KUFUTIKA AMANi TANZANIA
chanzo cha udini ni ccm na serikali yenyewe! Tatizo la maccm ni unafiki! Pia naona majungu na chuki zisizo na maana hapo! Ccm ni janga kwa taifa letu kwa sasa!EBU SOMENI NA HII POST THEN MCONNECT DOTS MUONE KM KWELI MACCM YANAIUNGANISHA KWELI CDM KT SUALA GESI YA MTWARA??
Wabunge wa CCM wamemrarua waziri wa mambo ya nje Bernard Membe kuwa ni kinara wa Fujo na vurugu zinazoendelea Mtwara.
Wa Kwanza kuchangia alikuwa ni mbunge wa Newala, alisema Membe ni mtu hatari na ni kirusi Ndani ya chama kwani anamtumia mbunge mtwara mjini Murji na misikiti kumchafua Waziri wa Serekali za Mitaa Hawa Ghasia, Baada ya munde alifuata Hawa Ghasia ambaye naye alimshtutumu Membe kuwa anamfitini kwa kumtumia Murji, na Murji kupiga misikiti anaendesha mkakati kupitia misikiti ,''vurugu za mwezi January nyumba yangu pamoja na ya Mhe Anna Abdala zilichomwa moto Mhe mwenyekiti Jana tena wamechoma nyumba yangu na ofisi za chama moto nimefanya utafiti nimegundua ni waziri mwanzagu ndie anaenifitini kwa wananchi wa mtwara hii ni hatari sana kwa mustakabali wa chama na Taifa kwa Ujumla'
Waziri Ghasia alienda mbali zaidi kwa Kusema Kama investment membe anazo za kutosha mtwara lakini hazichomwi wala hazirushiwi mawe,hii inasikitisha.
Wakati Huo Huo mbunge wa nzega Dk kigwangallah ameitaka serekali imuondoe mkuu wa mkoa wa mtwara Simbakali kwakuwa Hana mahusiano mazuri na mashekhe na ili mkoa Huo utulie aondolewe mkotoliki apelekwe muislamu.