Tayari Nchimbi keshasema vyama vya upinzani vinahusika. Kwahiyo tuwe makini, lolote linaweza kutokea. Na kwa kuwa adui yao mkubwa ni CDM, polisi wanaweza hata kuwalazimisha watu waitaje CHADEMA kama ndiyo chama kilichowatuma kufanya fujo.ngoma ya mtwara haina uchama, ile ni ya umoja wa wana mtwara wenyewe; Hasira hizi zinatokana na lile soo la korosho sasa ukiunganisha na hili la gesi basi wakaamuwa liwalo na liwe.
Hapo kwenye bold ni ushahidi mmojawapo kwamba CCM mtafanya kila hila kuibambika CHADEMA matatizo yanayoendelea huko Mtwara.
Kwani walioandamana walionyesha kadi zao za chama?
Kama wapo wa ccm walioandamana itakuwaje?
ngoja wajaribu tuone viongozi wanavyokimbia nchiHivi Mtiti wa Wa CHADEMA nchi nzima watauweza Kweli?????
Wanajua Disadvantage za Hila za Kukifuta CHADEMA ni Kuwa Itawagharimu Kuondhoshwa Madarakani kwa Nguvu.
Si waijinga Kiasi Hiko Aisee, ila kwa Sababu CCM ni kma Sikio la Kufa, wanaweza Kufanya Hilo na Ndo utakuwa Mwisho wao....
Nakubaliana na walio wengi kwamba kukifuta chadema inaweza kuwa ni kazi ngumu sana na kunaweza kusababisha vurugu kubwa kuliko hata hizo za Mtwara. Lakini CCM hawakosi kuleta hata usumbufu wa hapa na pale ilimradi tu wapunguze kura za CHADEMA. Lakini pia suala la madhara yatokanayo na siasa zao mbovu huwa pia siyo concern ya CCM kabisa. Maana walipokiita CHADEMA chama cha kaskazini au cha kichaga au cha kikristo, kwani hawakujua kwamba hizo kauli ni za hatari kwa umoja wa kitaifa? Kwa CCM amani si mhimu sana, cha mhimu zaidi kwao ni kuchukua dola. Hilo ndiyo tatizo kubwa tulilonalo katika nchi yetu. So haitashangaza kama wakiamua kufanya lolote, ilimradi lina faidi kwao kisiasa.CHADEMA kufutwa kama chama cha siasa Tanzania ni FIKRA BUTU.
THEORETICALLY, CHADEMA kinaweza kufutwa kama kitajihusisha na shughuri ambazo ni kinyume cha katiba na sheria ya nchi kama zilivyoainishwa kwenye sheria ya vyama vya siasa nchini.
PRACTICALLY, CHADEMA kwa kiwango ilichofikia kisiasa, haiwezi kufutwa kwa sababu haina viongozi vichaa ambao hawajui umuhimu wao katika jamii kama viongozi na pia watu waliopewa jukumu kisheria la kukifuta chama cha siasa hawawezi kufanya hivyo kwa sababu nao pia siyo vichaa wasiojua REPERCUSSION kwa kitendo cha kukifuta.
CHADEMA imefikia kwenye kiwango cha kuji-regurate yenyewe katika medani za kisiasa nchini bila hata ya msukumo wa mamlaka ya mwangalizi wa vyama vya siasa.
CHADEMA inaweza ikawa na viongozi ambao ni UNTOUCHABLE lakini haina maana hao viongozi wanafanya kama wanavyotaka au wanavyopenda ndani ya chama. Hawa watu wanaweza wakawa UNTOUCHABLE lakini vile vile kuna mambo ndani ya chama ambayo nayo kwao ni UNTOUCHABLE.
Don't worry, CHADEMA will take care of its own. Zaidi ya hapa, labda unataka kuleta propaganda za kutaka SYMPATHY kwa wananchi kwa kitendo ambacho hakiwezi kutokea katika dunia ya Tanzania pamoja na kwamba siasa za Tanzania hazieleweki kama unaziangalia kwa kutumia darubini ya bei ndogo.
Una maana gani unaposema usumbufu wa hapa na pale?. Kama usumbufu unaosema maana yake ni misukosuko basi sina budi kukushangaa kwa kauli yako hii.Nakubaliana na walio wengi kwamba kukifuta chadema inaweza kuwa ni kazi ngumu sana na kunaweza kusababisha vurugu kubwa kuliko hata hizo za Mtwara. Lakini CCM hawakosi kuleta hata usumbufu wa hapa na pale ilimradi tu wapunguze kura za CHADEMA.
Usidanganyike kabisa kama CCM haijari madhara yatokanayo na negative reactions ya wananchi kwa matendo yao.Lakini pia suala la madhara yatokanayo na siasa zao mbovu huwa pia siyo concern ya CCM kabisa. Maana walipokiita CHADEMA chama cha kaskazini au cha kichaga au cha kikristo, kwani hawakujua kwamba hizo kauli ni za hatari kwa umoja wa kitaifa? Kwa CCM amani si mhimu sana, cha mhimu zaidi kwao ni kuchukua dola. Hilo ndiyo tatizo kubwa tulilonalo katika nchi yetu. So haitashangaza kama wakiamua kufanya lolote, ilimradi lina faidi kwao kisiasa.
Highly appreciate Ng'wamapalala. Huu uchambuzi umeuweka very neutral na ni very educative. I have learned something from you post. Thanks man!Una maana gani unaposema usumbufu wa hapa na pale?. Kama usumbufu unaosema maana yake ni misukosuko basi sina budi kukushangaa kwa kauli yako hii.
CHADEMA kiliingia kwenye ulingo wa kisiasa kupambana ili kama kitafanikiwa, basi kiweze kushika madaraka. Sina shaka kabisa, waanzilishi wake walilifahamu hili from day one hata kabla ya kwenda kuchukua form ya usajiri wa muda.
Misukosuko inayoipata CHADEMA ni kitua ambacho hakiwezi kushangaza kwa wale wenye kujua mapambano ya kisiasa hasa kwa nchi zenye demokrasia changa, kwa vile hata katika nchi zilizotuletea hii demokrasia, mapambano ya kisiasa baina ya vyama vikuu huwa ni makali mpaka yanahusisha mud-slinging. Kwa Tanzania inaonekana ni kitu cha ajabu sana kwa vile hii ni mara ya kwanza kwa CCM kupata proper checks & balances katika utendaji wake kisiasa, kiuchumi na kijamii kutoka opposition party. Reaction kama hii ni nornal and natural kwa political shock ambazo vyama vyote vikuu vinaipata.
Usidanganyike kabisa kama CCM haijari madhara yatokanayo na negative reactions ya wananchi kwa matendo yao.
CCM kila mara wanajitathimini kisiasa na ndiyo maana wanafanya mabadiliko katika safu za uongozi kuanzia wajumbe wa nyumba kumi mpaka Taifa ili kujisimika katika nguzo ya kisiasa nchini.
Tatizo ninaloliona ndani ya CCM ni kuendelea kuwa na viongozi ambao mpaka sasa inawawia vigumu kuji-ADJUST na hali halisi ya kisiasa nchini. Kwa mfano, They used to get away with ill-advised comment or action na kibaya kabisa, they are prone to political gaffe. Kwa sasa hiki kitu hakikubaliki kwa sababu wananchi walio wengi kwa sasa nchini wanaweza kuchambua kila neno kwenye sentesi.
Kutokana na kuendelea kuwa na viongozi wa aina hii, inakifanya chama kuonekana kwa kiwango fulani kina mwelekeo au mtazamo hasi katika maswala muhimu kama ukanda, ukabila na udini kwenye macho ya wananchi. Kwa mfano, juzi tumesikia mbunge kupitia CCM akidai mitandao especially, JF idhibitiwe, utaona ni kwa kiasi gani kuna baadhi ya viongozi wasiojua dunia kwa sasa iko wapi.p na inakwenda wapi.
Maandamano na vurugu zinazoendelea Mtwara zimetafsiriwa na baadhi ya viongozi wa serikali kama ni uhaini.
Na baadhi ya watu wamenidokeza kwamba kauli ya Mheshimiwa Nchimbi bungeni kwamba kuna baadhi ya vyama vya upinzani vipo nyuma ya vurugu hizi, ina madhumuni maalumu.
Kuna uwezekano mkubwa kwamba viongozi wa CCM wakayahusisha machafuko haya na CHADEMA, na kuitaka mahakama iamuru CHADEMA ifutwe kutokana na jaribio la uhaini.
Pamoja ya kwamba mimi siungi mkono kile kinachofanywa na wana Mtwara, lakini naamini chama changu CHADEMA kipo upande wa wananchi siku zote. Hata hivyo napendekeza kwamba kauli za kuunga mkono harakati za wana Mtwara, zitolewe kwa umakini mkubwa sana.
Ni angalizo tu!
Maandamano na vurugu zinazoendelea Mtwara zimetafsiriwa na baadhi ya viongozi wa serikali kama ni uhaini.
Na baadhi ya watu wamenidokeza kwamba kauli ya Mheshimiwa Nchimbi bungeni kwamba kuna baadhi ya vyama vya upinzani vipo nyuma ya vurugu hizi, ina madhumuni maalumu.
Kuna uwezekano mkubwa kwamba viongozi wa CCM wakayahusisha machafuko haya na CHADEMA, na kuitaka mahakama iamuru CHADEMA ifutwe kutokana na jaribio la uhaini.
Pamoja ya kwamba mimi siungi mkono kile kinachofanywa na wana Mtwara, lakini naamini chama changu CHADEMA kipo upande wa wananchi siku zote. Hata hivyo napendekeza kwamba kauli za kuunga mkono harakati za wana Mtwara, zitolewe kwa umakini mkubwa sana.
Ni angalizo tu!
Mkuu Lukolo hilo za propaganda za kuihusisha CDM na matukio ya Mtwara lazima zifanywe tena kwa nguvu zote ila ukweli unabaki pale pale kwamba wana Mtwara na Watanzania wote wana haki ya kuhakikisha gesi ya Mtwara inakuwa na maslahi kwa wao na Watanzania wote baada ya kuona yale yaliyojiri katika mikataba ya uchimbaji wa dhahabu. Mimi naamini kabisa propaganda hizi kama zilivyoshindwa zile za CDM kuhusishwa na udini na ukabila nazo zitashindwa.
Sasa mkuu Mahakama itaamua bila facts? Kwaiyo wananchi wakidai haki yao basi lawama Chadema? Hoja hiyo haina mashiko kaka
Maandamano na vurugu zinazoendelea Mtwara zimetafsiriwa na baadhi ya viongozi wa serikali kama ni uhaini.
Na baadhi ya watu wamenidokeza kwamba kauli ya Mheshimiwa Nchimbi bungeni kwamba kuna baadhi ya vyama vya upinzani vipo nyuma ya vurugu hizi, ina madhumuni maalumu.
Kuna uwezekano mkubwa kwamba viongozi wa CCM wakayahusisha machafuko haya na CHADEMA, na kuitaka mahakama iamuru CHADEMA ifutwe kutokana na jaribio la uhaini.
Pamoja ya kwamba mimi siungi mkono kile kinachofanywa na wana Mtwara, lakini naamini chama changu CHADEMA kipo upande wa wananchi siku zote. Hata hivyo napendekeza kwamba kauli za kuunga mkono harakati za wana Mtwara, zitolewe kwa umakini mkubwa sana.
Ni angalizo tu!
Kwahiyo wewe unaamini kwamba kinachotokea ni dalili za mwisho wa dunia? Kama hili la Mtwara linatufanya tuwaze hivyo, sijui wale watu walioishi enzi za vita ya kwanza na ya pili ya dunia watakuwa waliwaza nini?nasikitika watanzania tumepatwa na tatizo la uvundo kwenye bongo zetu ndo maana kila kitu tunadhani ni siasa. ni saa za mwisho hizi hebu tumgeukie Mungu kabla hajatufagia wote