Vipi yule "aliyelipia meli ya wachina" anaetaka kuombewa daily?Kiufuppi Chadema ni kundi la kihuni.kila kitu kwao kibaya,hata mabaya waliyosema awali leo yanafanyiwa kazi wao wamegeuka tena kutetea uovu na waovu hawaeleweki hao ni wahuni tu.mbaya zaidi utasikia wanamtaja na MUNGU kwenye issue za kihuni huni
===Kiufuppi Chadema ni kundi la kihuni.kila kitu kwao kibaya,hata mabaya waliyosema awali leo yanafanyiwa kazi wao wamegeuka tena kutetea uovu na waovu hawaeleweki hao ni wahuni tu.mbaya zaidi utasikia wanamtaja na MUNGU kwenye issue za kihuni huni
Shida kubwa sana wapenzi pia wa hili kundi la kihuni wanadhani kila anae wachambua ni mwana CCM la hasha!..wengine hatuna vyama na tunaujua uhalisi wahivi vyama vyote na wanasiasa wake===
hata ccm wanazo tabia kama hizi kwenye baadhi ya campain zao . mfano angalia kwa kiasi angalia hapanajua hii ni ndogo sana mkitaka kumbukumbu halisi nitawaletea pia.
Nimewakumbusha chadema kwakua nawapenda sana na kwamba wao ni wapya ni rahisi kuchafuliwa.
===CDU UJERUMANI & CDM TANZANIA KWANINI WASITUMIE UDINI WAKATI NDIO MLENGO WAO