CHADEMA kuweni makini na hili!!

CHADEMA kuweni makini na hili!!

mahwelu

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
322
Reaction score
253
Wakuu chadema kama chama naomba muwe makini sana na hili swala la kujilink na imani.
Siasa ni delicate game na unahusu manipulation ya data. Kuweni makini sana kwani huenda zikatumika kuwapiga za uso... Tanzania idadi ya wananchi wanakaribiana kwenye dini zetu kuu mbili xstians na muslims. Mkijikita sana kwenye dini moja kwakutaka au kutotaka mjue mnaweza mkawakosa watu wengine wakati maalum ambao mtawahitaji

huu ni mfano tu

but mpaka nawaandikia hili ni kwakua kila likitokea sometimes nikiwa kwenye mikutano hiyo huwa najiuliza are we fighting for the same cause? . Chama kitumie diplomasia yake kudeal na hili bila kupoteza kundi husika

Msiseme sijawatahadhalisha
 
Tunashukuru mkuu kwa ushaur wako nazan hili tutaliangalia kwa jicho la pili mana hata mm nililiona kabla lakn niliogopa kuwaambia makamanda wenzangu
 
12/4/2012 MKUTANO VIWANJA VYA NMC ARUSHA NILILIONA HILO TENA MBUNGE AKITUMIA MDUNDO MKUBWA NA VIONJO VYAKE.

NDIO TAIFA BAADA YA PHILIPS COMMISSION 1924 KUPANGA WAYATAKAYO
 
Kiufuppi Chadema ni kundi la kihuni.kila kitu kwao kibaya,hata mabaya waliyosema awali leo yanafanyiwa kazi wao wamegeuka tena kutetea uovu na waovu hawaeleweki hao ni wahuni tu.mbaya zaidi utasikia wanamtaja na MUNGU kwenye issue za kihuni huni
 
Vipi yule "aliyelipia meli ya wachina" anaetaka kuombewa daily?
 
Kiufuppi Chadema ni kundi la kihuni.kila kitu kwao kibaya,hata mabaya waliyosema awali leo yanafanyiwa kazi wao wamegeuka tena kutetea uovu na waovu hawaeleweki hao ni wahuni tu.mbaya zaidi utasikia wanamtaja na MUNGU kwenye issue za kihuni huni
===
hata ccm wanazo tabia kama hizi kwenye baadhi ya campain zao . mfano angalia kwa kiasi angalia hapa najua hii ni ndogo sana mkitaka kumbukumbu halisi nitawaletea pia.
Nimewakumbusha chadema kwakua nawapenda sana na kwamba wao ni wapya ni rahisi kuchafuliwa.
 
Shida kubwa sana wapenzi pia wa hili kundi la kihuni wanadhani kila anae wachambua ni mwana CCM la hasha!..wengine hatuna vyama na tunaujua uhalisi wahivi vyama vyote na wanasiasa wake
 
CDU UJERUMANI & CDM TANZANIA KWANINI WASITUMIE UDINI WAKATI NDIO MLENGO WAO
 
Back
Top Bottom