Chadema kuwasha moto Tabora


Mbona unajadiri siasa mheshimiwa tena kwa makini? Sema tu kinachokukera kutoka kwa wachangiaji hiyo ndiyo JF.
 
pls we need confirm maana kuna taarifa ya kuahirishwa mikutano yote, tunajua safari ya dr slaa ni ya masafa ya wiki hivi je ipo kuanzia kesho na vipi maandalizi huko, hamna mashaka ya maandalizi jamani roho inadunda maana wasukuma na wanyamwezi wa tabora wanatuanfusha sana, pls confirm kama kweli upo
 
Mashambulizi mbele kwa mbele mpaka kieleweke karibuni Tabora kwetu mtufikie mpaka huku kijijini kwetu Sikonge...!!! Ngoja nianze kutoa taarifa kwa wanakijiji tupate wafuasi wote
 
kwanini bado unaipenda ccm?
 
Na moto wa mabadiliko ya kweli, vita dhidi ya CCM-Ufisadi na ukombozi wa wanyonge nchini uendelee kila pembe koooote nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…