Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,423
- 289,628
Chama chakavu chama kilamba asali chama kutetea mashoga nani anataka kukisikilizaBaada ya Ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani kumalizika nchini Tanzania , Kazi ya kusambaza moto wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi unaendelea .
Safari hii ni zamu ya Songea Mjini , ambako inatarajiwa lundo la Makamanda watafundisha Jukwaani Somo la Umuhimu wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi .
Taarifa kamili hii hapa .
View attachment 2572973
Mmh, Hapo Songea mbona hakuna uwanja wa soko kuu karibu na NMBBaada ya Ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani kumalizika nchini Tanzania , Kazi ya kusambaza moto wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi inaendelea .
Safari hii ni zamu ya Songea Mjini , ambako inatarajiwa lundo la Makamanda watafundisha Jukwaani Somo la Umuhimu wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi .
Taarifa kamili hii hapa .
View attachment 2572973
Ni wapi ambapo Chadema imetetea mashoga na ni wapi ambapo ccm imeangamiza mashoga ?Chama chakavu chama kilamba asali chama kutetea mashoga nani anataka kukisikiliza
USSR
Wote mnakaribishwaMmh, Hapo Songea mbona hakuna uwanja wa soko kuu karibu na NMB
Hakuna kiwanja eneo hilo
Kama unaongelea Songea mjini mkoani Ruvuma unatudanganya
Mnatunga sana mambo
Mkuu kaa kimya, Unajua kuna wakubwa wako ndani ya LGBTChama chakavu chama kilamba asali chama kutetea mashoga nani anataka kukisikiliza
USSR
Kaeni kwa kutulia Mama amesema mchakato wa kati mpya uko on process kwaiyo lazima ipatikane hakuna haja ya kuendelea kupiga keleleBaada ya Ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani kumalizika nchini Tanzania , Kazi ya kusambaza moto wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi inaendelea .
Safari hii ni zamu ya Songea Mjini , ambako inatarajiwa lundo la Makamanda watafundisha Jukwaani Somo la Umuhimu wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi .
Taarifa kamili hii hapa .
View attachment 2572973
Tunafundisha wananchi uzuri na umuhimu wa Katiba mpyaKaeni kwa kutulia Mama amesema mchakato wa kati mpya uko on process kwaiyo lazima ipatikane hakuna haja ya kuendelea kupiga kelele
Vipi uliwahi kubakwa?Moto wa mabua.
Chadema ni lichama la hovyo kabisa
kama mabua yaweza kuwaka kwa zaidi ya miaka 20 basi ni balaaMoto wa mabua.
Chadema ni lichama la hovyo kabisa
Umeona chama gani nje ya CDM kinashirikishwa kwenye maridhiano Kama hakina maana?Chama chakavu chama kilamba asali chama kutetea mashoga nani anataka kukisikiliza
USSR
Akijibu nistueUmeona chama gani nje ya CDM kinashirikishwa kwenye maridhiano Kama hakina maana?
Ndiyo,niliwahi kubakwa na mkeo/demu wakoVipi uliwahi kubakwa?
Miaka yote ishirini mmeishia kupata kura 1800s na mbunge 1 !!?kama mabua yaweza kuwaka kwa zaidi ya miaka 20 basi ni balaa
makamu wa rais wa mashoga mmempokea ikulu na jana ameondoka kuwaacha mashoga muendelee na ushoga wenu,.mala rushwa halmashauri hoi kwa upumbavu wa nguruwe wa ccm na sukuma gang CAG amewaumbua kufikia 2025 tutawanyoosha na lichama lenu la mashoga ya marekani ambayo yamewaambukiza ushoga wajinga nyinyi.Chama chakavu chama kilamba asali chama kutetea mashoga nani anataka kukisikiliza
USSR
Hilo ni moja ya mashoga mkuu hata mama yao jana ameaga makamu wa rais wa mashoga pale ikulu hii inaashiria ccm mashoga yamejazana.Ni wapi ambapo Chadema imetetea mashoga na ni wapi ambapo ccm imeangamiza mashoga ?
kwamba ccm inambunge aliyechaguliwa jimbo gani tofauti na uporaji wa kura, kwa taarifa ibeni tena 2025 muone kama hamjafa kama mungu wenu wa chato.Miaka yote ishirini mmeishia kupata kura 1800s na mbunge 1 !!?
Mkuu kaa kimya, Unajua kuna wakubwa wako ndani ya LGBT
Mambo ni Fire.......
Usimwage ugali nao wakamwaga mboga Itakua mtafutano humu JF