Chadema kuwa na wabunge wengi lakini si majority

Chadema kuwa na wabunge wengi lakini si majority

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Chama cha demokrasia na maendeleo ni chama makini kwa sasa na niwazi kuwa kitapata wabunge wengi uchaguzi ujayo na indiketa ni uchaguzi wa madiwani ambapo wamepata viti vichache vya ccm na ccm kupata majority, kama ukomakini ccm watapoteza zaidi viti vya ubunge especiaaly vya mijini lakini vijijini watu wengi wanaikubali ccm na hivyo ni ndoto kuzani cdm pekeyake wataweza kupata majority ya kuongoza nchi my take waunde coalition kwa kuanza na kuigawa kambi rasmi ya upinzani kwa vyama vingine vya upinzani na kuacha ubinafsi
 
Mtahangaika kipindi hiki hata ukiona kuku inapita unaisalimia, 'kuku shikamoo'
 
Chama cha demokrasia na maendeleo ni chama makini kwa sasa na niwazi kuwa kitapata wabunge wengi uchaguzi ujayo na indiketa ni uchaguzi wa madiwani ambapo wamepata viti vichache vya ccm na ccm kupata majority, kama ukomakini ccm watapoteza zaidi viti vya ubunge especiaaly vya mijini lakini vijijini watu wengi wanaikubali ccm na hivyo ni ndoto kuzani cdm pekeyake wataweza kupata majority ya kuongoza nchi my take waunde coalition kwa kuanza na kuigawa kambi rasmi ya upinzani kwa vyama vingine vya upinzani na kuacha ubinafsi

Unang'ata na kupuliza puliza, sasa coalition na wake zenu CUF??? Acha ubabaishaji, nenda tena studio uje na single nyingine hii haibambi.
 
Sio vijiji vyote CCM wanakubalika kuna vijiji vingine haviwataki kabisa chukulia kata ile ya Dongo besh chadema washinda kwa kishindo na kama wataendelea na kasi hii 2015 upepo ni kwao,mfano halisi kata nne za CCM zilizochukuliwa so jipangeni sana Magamba
 
CDM tuendelee kugawa dozi kitaeleweka tu! CCM wanaiba kura ndio wanchojivunia miaka hamsini ya uhuru elimu imeporomoka sana halafu unasema wasiwajibishwe? Labda huo umbumbu waliousababisha ndio unawafanya wana vijiji kuendelea kuwapa kura!

PEOPLES!
 
Back
Top Bottom