CHADEMA kuwa chama cha Maandamano!

Yule Katibu alisema Chadema na nyie wafuasi wa Jiwe mumeacha kutumia vichwa sasa mnatumia kwato na miguu kufikiria 🤪🤪
Kwani Jiwe ni dini hadi wawepo wafuasi?

Hofu na aibu vinakufanya ukurupuke kubandika bandika watu majina
 
Kwahiyo maandamano yataishia kwa mkuu wa mkoa ambaye ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM Mkoa? 😄😄 ambapo RC pia ni mteule wa Rais (Mwenyekiti wa CCM)... CHADEMA kisiasa bado sana aisee. Nahisi Mbowe anajua huu ujinga wote ila kwasababu anapiga pesa anajifanya haoni.
 
NDIO KAZI YA CHAMA CHA UPINZANI HATA TANU ILIFANYA HIVYO HIVYO NA MWISHO WA SIKU ILIFANIKIWA NA SIKU CCM KIKIWA CHAMA CHA UPINZANI KITAFANYA HIVYO

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Unajisikia vipi kuandamana kisha kumpelekea malalamiko yenu mjumbe wa kamati ya siasa CCM Mkoa... tena huyo Makala ni mwekahazina mstaafu wa CCM. Hayo maandamano ya Mwanza ni ya kipumbavu sana
 
Si umetoka kuilalamikia mahakama wewe? Unadhani wanaandamana kuuza sura bila kuwa na ajenda?
Waliandamana dar na sasa wanayajamishia mikoani walipo wahitaji wa katiba mpya ili wasio na luninga wawaone na kuungana nao kudai haki.
Kama AG wenu kaenda kwenye maandamano ya makonda basi ni sahihi cdm wakayasambaza maandamano Yao Hadi huko vijjini. Endelea kuumia!
 
Pumbavu kabisa.
Nitaendelea kulipia kadi yangu lakini nitaipinga CCM daima labda ikubali kujisahihisha
Kulipia harafu unakuwa muasi.kama ngeti au Mpina si Bora uslipie tuu uhamie kwa Waasi wenzio?
 
kwani vipi unaogopa au??
 
Chadema ilikwisha poteza Dira!
Hawajui wafanye nini na hapo ndio mwisho wao wa kubuni na kufikiri.
Chama makini chenye nia ya kushika dola hakiwezi kuwa Chadema iliyojaa waropokaji na watafuna Ruzuku.
 
Inaelekea haujui sababu inayowafanya waandamane, bora ungeacha lipite tu.
 
UWT kuwaelewa CHADEMA siyo rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…