mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Agizo limezingatiwa mkuuthanks for infomation ila kumbuka kuleta feedback ya mkutano wote na usilete habari nusunusu au kuleta misifa isiyo na mpangilio leta hoja uwe balanced
kila la heri mkuu tupo pamoja sana
Huyu meya(Alex Malima)ni meya anayetokana na nguvu ya Umma(Chadema)na ni meya pekee wa Chadema aliyepita bila kupingwa Tanzania ambaye ni CHADEMA.....na ndiyo mwenye Halmashauri inayofanya vizuri bila kelelehii cdm vipi sasa mi nataka wakaungurume vijijini wao bado wanaunguruma mjini,by the way nieleze kitakachojiri na nataka kujua huyo meya ni wa chama chetu au ni magamba?
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)kitafanya mkutano wa Hadhara katika Shule ya Msingi Mkendo,katika mkutano huo wa Hadhara utakaohutubiwa na Meya wa Mji wa Musoma(Alex Malima)pia atakuwepo Mbunge wa Jimbo hilo(Vincent Nyerere)na Mbunge wa viti Maalum(Ester Matiko) mbali na salam za Mwaka mpya na Ufafanuzi wa katiba pia wataelezea Mafanikio ya Maendeleo ya Jimbo Hilo tangu waingie Madarakani
Ningependa Meya na mh mbunge na cabinet yake inayoongoza Municipal ya Musoma wajikite katika masuala yafuatayo:Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)kitafanya mkutano wa Hadhara katika Shule ya Msingi Mkendo,katika mkutano huo wa Hadhara utakaohutubiwa na Meya wa Mji wa Musoma(Alex Malima)pia atakuwepo Mbunge wa Jimbo hilo(Vincent Nyerere)na Mbunge wa viti Maalum(Ester Matiko) mbali na salam za Mwaka mpya na Ufafanuzi wa katiba pia wataelezea Mafanikio ya Maendeleo ya Jimbo Hilo tangu waingie Madarakani
Ningependa Meya na mh mbunge na cabinet yake inayoongoza Municipal ya Musoma wajikite katika masuala yafuatayo:
Ukosefu wa maji katika maeneo ya Buhare kigera Nyasho. Ziwa Viktoria lipo jirani sana na maeneo hayo si haki yukose maji.
Piganieni Chuo cha Buhare kiwe chuo kikuu ili mji uweze kupanuka. Uwepo wa vijana wengi wasomi utasaidia mzunguko wa fedha kuwa mkubwa Nyumba zitapata thamani, daladala zitafanya kazi, stationeries zitapata wateja, hata mama ntilie watauza vyakula.
Fufueni viwanda vya samaki, maziwa, Mutex ili vijana wapate ajira za kudumu. BODABODA, gutas,sio, mji mdogo sana gaweni viwanja vya makazi kuanzia zerozero. nendeni Makoko hadi mmahare. watu wajenge kusiwe na mizengwe ya kugawa ardhi.
Alex Kisurula Malima Kyamba, Vincent Joseph Kiboko Nyerere, Ester Mwita matiko na wenzenu wa CDM akina Bwire Nyamwero umizeni vichwa Musoma ibadilike. Angalieni Mwanza kwa akina Manyerere, Kiwia, Wenje mji unaongezeka kwa kasi. Naunga hoja kufanyika mkutano huo.
Alex Malima kupita bila kupingwa that was obvious, kwanza ni mzaliwa wa musoma mjini, anaufahamu mji, anawafahamu kaka baba dada shangazi, bibi, hata vijana wenzake anafahamu matatizo yao hata kabla hajaingia ktk siasa. Ni kijana msikivu mpenda watu mpenda maendeleo ya kweli. Mcha mungu. Wana Musoma mkimtumia vizuri atawasiadia kuwatoa ktk lindi zito la umaskini unaowakabili. mpeni sapoti acheni u musoma. Nawatakia mkutano mwema wenye mafanikio.Huyu meya(Alex Malima)ni meya anayetokana na nguvu ya Umma(Chadema)na ni meya pekee wa Chadema aliyepita bila kupingwa Tanzania ambaye ni CHADEMA.....na ndiyo mwenye Halmashauri inayofanya vizuri bila kelele
Tuko pamoja ila madiwani wafwatao tunaomba wajirekebishe la sivyo nguvu ya uma itatumika kuwatoa madarakani naibu mea diwani wa kamunyonge sodbi diwani wa bweri na diwani wa makoko acheni tamaa mjirekebishe.