Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,537
Ni wazi kwamba kuna mgogoro mkubwa sasa wa kiuongozi ndani ya ACT kati ya kambi inayotaka uchaguzi na ile isiyotaka uchaguzi ndani ya chama hicho.
Hata hivyo kuna kila dalili kwamba CHADEMAkama chama kikubwa zaidi cha upinzani kwa sasa, kitasaidia kutatua mgogoro huo ili kuunusuru upinzani.Hata hivyo CHADEMA ishaanza kuonesha nia ya kutatua mgogoro huo kwa kutumia busara tu.Kwa inavyoonekana msukumo wa CHADEMA kutatua mgogoro huo, unatokana na msingi wa nia njema "Good will". Na wala si vinginevyo.It is a matter oftime mgogoro huo utamalizwa.