CHADEMA kutoa bima za Afya

CHADEMA kutoa bima za Afya

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,273
Reaction score
25,303
1.jpg

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa kitabadilisha fikra za wananchi pamoja na mazoea ya kwenda hospitali pale wanapokuwa wanaumwa na badala yake watawajengea uwezo wa kwenda hospitali mara kwa mara ili kujua Afya zao.

Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA Dar es salam na Mjumbe Baraza kuu na Mkutano Mkuu Taifa Henry Kilewo ambaye amesema pamoja na kuwajengea uwezo wananchi watatoa na bima za afya kwa wananchi.

"Chadema tutakapokuwa Tunaongoza Nchi 2020 tutabadili Fikra za Mazoea Kwa Wananchi kusubiri Kuumwa ndiyo waende Hospital,Tutawajengea Uwezo wa Kucheki Afya Zao Mara kwa Mara pamoja na kuwapatia Bima za Afya" Kilewo.

Mbali na hayo Kilewo amefafanua kwamba ni muda muafaka kwa serikali kuwekeza kwenye Sekta ya Afya mahali ambapo panadaiwa kuwa na changamoto huku akikosoa namna Tanzania ilivyo nyuma kwenye sekta ya afya.

"Ni aibu na dhihaka kwa Taifa kwa watu kujazana kwenda kupata matibabu kwenye meli ya wachina, hii inaonyesha ni namna gani tulivyo nyuma kwenye Sekta ya Afya...Viongozi wetu kama wanashabikia hili basi Taifa lipo kwenye msiba mkubwa wa uongozi,Taifa linalia". Ameandika Kilewo kwenye ukurasa wake wa Twitter

Mpekuzi
 
Hii ni fact kabisa,na nia aibu kubwa sana.

Lakini hapo kwenye kuongoza nchi 2020 ajifikirie upya asije na yeye wakasema amenunuliwa hata kabwa ya muda kufika.
 
View attachment 634912

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa kitabadilisha fikra za wananchi pamoja na mazoea ya kwenda hospitali pale wanapokuwa wanaumwa na badala yake watawajengea uwezo wa kwenda hospitali mara kwa mara ili kujua Afya zao.

Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA Dar es salam na Mjumbe Baraza kuu na Mkutano Mkuu Taifa Henry Kilewo ambaye amesema pamoja na kuwajengea uwezo wananchi watatoa na bima za afya kwa wananchi.

"Chadema tutakapokuwa Tunaongoza Nchi 2020 tutabadili Fikra za Mazoea Kwa Wananchi kusubiri Kuumwa ndiyo waende Hospital,Tutawajengea Uwezo wa Kucheki Afya Zao Mara kwa Mara pamoja na kuwapatia Bima za Afya" Kilewo.

Mbali na hayo Kilewo amefafanua kwamba ni muda muafaka kwa serikali kuwekeza kwenye Sekta ya Afya mahali ambapo panadaiwa kuwa na changamoto huku akikosoa namna Tanzania ilivyo nyuma kwenye sekta ya afya.

"Ni aibu na dhihaka kwa Taifa kwa watu kujazana kwenda kupata matibabu kwenye meli ya wachina, hii inaonyesha ni namna gani tulivyo nyuma kwenye Sekta ya Afya...Viongozi wetu kama wanashabikia hili basi Taifa lipo kwenye msiba mkubwa wa uongozi,Taifa linalia". Ameandika Kilewo kwenye ukurasa wake wa Twitter

Mpekuzi
chama cha siasa au kitakuwa chama cha bima ya afya ifikapo 2020,maana mwenyekiti mbowe anaweza kuwa anatafuta wateja kabisa.
 
Waoneshe huo mfano kwanza kwenye kata na majimbo wanazoziongoza ili tujue kweli wanamaanisha
 
CCM imewekeza kwenye kununua wapinzani badala ya kuimarisha huduma za afya.
tatizo wapinzani nao wanaweza kununuliwa badala ya kutoa huduma kwa wananchi ktk maeneo wanayo yaongoza
 
Waoneshe huo mfano kwanza kwenye kata na majimbo wanazoziongoza ili tujue kweli wanamaanisha
Unataka mfano gani zaidi ya kulinganisha hali ya Maendeleo ya majimbo yenye wabunge wa upinzani na Yale ambae wabunge wake wanatoka chama tawala. Bila upendeleo majimbo yanayoongozwa na upinzani yako vema sana mpaka MTU unashangaa kulikoni. Hawa jamaa wameshika nchi hii kwa miaka mingi walikuwa hawaoni fursa hizi zote
 
View attachment 634912

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa kitabadilisha fikra za wananchi pamoja na mazoea ya kwenda hospitali pale wanapokuwa wanaumwa na badala yake watawajengea uwezo wa kwenda hospitali mara kwa mara ili kujua Afya zao.

Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA Dar es salam na Mjumbe Baraza kuu na Mkutano Mkuu Taifa Henry Kilewo ambaye amesema pamoja na kuwajengea uwezo wananchi watatoa na bima za afya kwa wananchi.

"Chadema tutakapokuwa Tunaongoza Nchi 2020 tutabadili Fikra za Mazoea Kwa Wananchi kusubiri Kuumwa ndiyo waende Hospital,Tutawajengea Uwezo wa Kucheki Afya Zao Mara kwa Mara pamoja na kuwapatia Bima za Afya" Kilewo.

Mbali na hayo Kilewo amefafanua kwamba ni muda muafaka kwa serikali kuwekeza kwenye Sekta ya Afya mahali ambapo panadaiwa kuwa na changamoto huku akikosoa namna Tanzania ilivyo nyuma kwenye sekta ya afya.

"Ni aibu na dhihaka kwa Taifa kwa watu kujazana kwenda kupata matibabu kwenye meli ya wachina, hii inaonyesha ni namna gani tulivyo nyuma kwenye Sekta ya Afya...Viongozi wetu kama wanashabikia hili basi Taifa lipo kwenye msiba mkubwa wa uongozi,Taifa linalia". Ameandika Kilewo kwenye ukurasa wake wa Twitter

Mpekuzi
Wafanyakazi wa makao makuu ya chama chake tu hawana Bima ya afya ijekuwa watanzania wote!?
 
Rambirambi Iliwashinda wakawa wanakula za matibabi ha LSU wanakula ije ya bimaaa mweee pesa za sabodo zipo wapi wapi zile za m4c na michango ya watu
 
Back
Top Bottom