CHADEMA kutikisa Nzega leo

CHADEMA kutikisa Nzega leo

Mikutano hiyo iwe nchi nzima tupime hoja sisi tusio na chama cha siasa ila tunataka mabadiliko NOTE: YOTE DUGU MOJA

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kigwa hana jipya zaidi ya kuhonga vitumbua,mfutilieni mbali huyo mkwepa kodi...aluta continue makamanda wa Nzega!!!!
 
Mie nasubiri kwa hamu kusikia mkutano umekwisha na taarifa ya mkutano mzima maana nilimsikia kwa masikio yangu akisema chedema wakienda jimboni mwake watakuwa mawe ya kutosha na yeye atakuwa wakwanza kuchukua hatua mikononi mwake Kama serikali imeshindwa kuyakomesha.

Taarifa, taarifa, taarifa ya kinachoendelea huko tunahitaji!
 
hayo ndo mambo yenyewe tunayoyataka siyo kukaa ofisin siasa ni majukwaan all the best wananzengo wa nzega tupo pamoja sana
 
aksanteni sana na we wish them al d best.

lakini ivi kesi ya hukumu ya ubunge wa kafumu ilokuwa ijumaa iliisha vipi? au ni siri kwa wana Tabora??
 
You can hold as many rallies as you can and travel as many places as you're capable of, but all that becomes useless if you don't talk about things that concerns common citizens' lives. Using public meetings to spread violence messages and unfounded allegations against government leaders is not what many poverty-stricken Tanzanians appear to be prepared to hear at the moment. People want to be told about what you do have in stock that seems to be missing in the CCM's policies, which you will essentially apply in order to lift them out of the poverty situation they've been in all these years CCM has been in power. You so far haven't done that, either because of lack of formidable strategists in the party or perhaps due to political immatureness.

Marehemu Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, hata mambo yasiyo na maana ukiyasema kwa KIINGEREZA wasiyojua wanaweza kuyaona ya maana sana kwa kuwa tu yamesemwa kwa KIINGEREZA. Hivi CCM wana lipi lililojema kwa watanzania kwa sasa? Elimu mbovu, huduma za jamii (maji n.k) mbovu, miundo mbinu wanasuasua, wewe umekomaa eti wananchi waelezwe mikakati iliyozaid na ya CCM. If you want to hear the strategy is to dump CCM in rubish bin in next ellection (2015) full stop.
 
Jamani sisi sote ni wanachadema tnajena nyumba moja km mara hii tnajikita kt kugombani fito hatutofika mbali, kusameheana ndo uungwana

kumbukeni vilotajwa apo ni viungo vya mwili wa b.damu kila mtu anavimiliki na lazima aviguse kila mara. plz stop kutukanana

Mkuu, huyu Radhia ni GAMABA si CDM huyu kama alikuwa anaonekana CDM basi keshajiunga Lumumba, au na wewe ni kati ya wale ambao hawakuelewa post yake kwa kuwa imeandikwa kwa KIINGEREZA? Acha apewe stahiki yake.
 
ccm hawana hoja ni matusi tu kuanzia bungeni mpaka mtaani lakini come 2015 lazima watoke.
 
you can hold as many rallies as you can and travel as many places as you're capable of, but all that becomes useless if you don't talk about things that concerns common citizens' lives. Using public meetings to spread violence messages and unfounded allegations against government leaders is not what many poverty-stricken tanzanians appear to be prepared to hear at the moment. People want to be told about what you do have in stock that seems to be missing in the ccm's policies, which you will essentially apply in order to lift them out of the poverty situation they've been in all these years ccm has been in power. You so far haven't done that, either because of lack of formidable strategists in the party or perhaps due to political immatureness.

my dearest you have never attended any of chadema"s rallies i think you would not have written this,the first thing is to transform the minds of the people so that they know then after that you can start telling them your policies without that policies can be spread without any impact
 
you can hold as many rallies as you can and travel as many places as you're capable of, but all that becomes useless if you don't talk about things that concerns common citizens' lives. Using public meetings to spread violence messages and unfounded allegations against government leaders is not what many poverty-stricken tanzanians appear to be prepared to hear at the moment. People want to be told about what you do have in stock that seems to be missing in the ccm's policies, which you will essentially apply in order to lift them out of the poverty situation they've been in all these years ccm has been in power. You so far haven't done that, either because of lack of formidable strategists in the party or perhaps due to political immatureness.


we will tell them you are poverty-stricken because you put in place the wrong people(ccm) who govern you instead of leading you.
 
Kwa wana JF mliopo Nzega, pitieni uzi wa Kigwangala wa juzi alipotaka kujisafisha akajikuta anatumia maji taka kujisafisha. Ndani ya uzi ule kuna nondo (hoja) za kufa mtu ambazo Hamisi mwenyewe alishindwa kuzijibu akaingia mitini. Chukueni nondo hizo muwape waongeaji wa mkutano huo ili na wana Nzega wengine wapate fursa ya kumjua Hamisi ni nani hasa.

Hamisi Kigwangala alionekana mbunge mpiganaji wakati ule yeye na January Makamba tu wabunge kutoka CCM walipopinga pia posho za wabunge lakini kumbe ni mbabaishaji. pia tuhuma za kutumia majina bandia zinaonyesha sio mtu muadilifu.
 
You can hold as many rallies as you can and travel as many places as you're capable of, but all that becomes useless if you don't talk about things that concerns common citizens' lives. Violence messages and unfounded allegations against CCM officials and government top executives are not what most of poverty-stricken Tanzanians are interested to hear at the moment. People want to be told about what you do have in stock that seems to be missing in the CCM's policies, which you will essentially apply in order to lift them out of the poverty situation they've been in all these years CCM has been in power. You so far haven't done that, either because of lack of formidable strategists in the party or perhaps due to political immatureness.

Shame on you, you seem to be benefiting from the current corrupt system where a few individuals eat the best part of the National cake!

You are purposely pretending to be against the Fisadis in view of misleading the people who will 'unluckily' get to read you post

The fact that CDM is getting more support even in the areas thought to be strong hold of Fisadi's party, you and your colleague have your future economic status threatened as your GOD fathers 'the Fisadis' will no longer be there.

CDM, keep on until the last stone is turned.... 2015 ... Just cant wait...
 
wewe Radhia nimekudharau kuliko ulivyowahi kudharauliwa tangu uzaliwe ! Kuanzia leo nimeku ignore , Hata Demu wa Manzese hawezi kutukana matusi namna hiyo ! shame on you !
 
Back
Top Bottom