Masalu T Bernard
Member
- Mar 21, 2013
- 37
- 20
Ndugu Wanajamvi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo[CHADEMA] Kata ya Nzega Mjini kitakuwa na Mkutano Mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Parking Nzega leo tarehe 04/05/2013 kuanzia saa tisa alasari.
Wazungumzaji wakuu watakuwa ni Mwenyekiti wa Wilaya ya Nzega OMARY OMARY,Mwenyekiti wa Wanawake Jimbo la Nzega MONICA NSARO,Mwenyekiti wa Kata ya Nzega Mjini SEYIR ANDREW na Katibu Mwenezi Kata ya Nzega Mjini GISBERTH KABAMBA almaarufu kwa jina la AWILO.
Hii ni kwa mujibu wa Matangazo yaliyotolewa na CHADEMA Kata ya NZEGA MJINI kupitia gari ya Matangazo jana jioni.
Naomba kuwasilisha