CHADEMA kususa ziara na vikao

mwisho ya yota mtakuja kukubaliana na mimi kwamba,Makufuli awezi kuamua haki kati ya ccm na vyama vingine
 
Hapa ndipo utakapo jua hii nchi haiheshimu misingi ya sheria , mkurugenzi aliesema uongo na kusababisha machafuko hana kesi na ana lala kwake, waliokuwa wanadai haki ndio wanaolala mahabusu. Aibu hii sijui mwisho wake wanawakamata ili wafanye yale ya kilombero. Kweli Magufuli ni si rais wa watu wote kama anavyo hubiri.
 
Wasuse tu ili kikao kiwe cha watu wazima wanaojielewa kuliko utoto wa ukawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…