ccm walitangaza Zuio feki la Mahakama makusudi wakitengemea Ukawa watalipinga ili wawabambikiwe Kesi , hizo njama za kuwabambikia kesi Ukawa ni bora wangepeleka malalamiko Yao kwenye Taasisi za haki za binadamu Duniani pia wafungue kesi The Hague ili wale woote walioshiriki kuwanyanyasa washitakiwe na kuwa fundisho Kwa Udikteta unaoanza kushika kasi kwenye awamu hii ya tano.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesusia ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa za Temeke, Kinondoni na Ilala na kuthibitisha kutoshiriki katika kikao cha bodi ya barabara kinachotarajiwa kufanyika kesho.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesusia ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa za Temeke, Kinondoni na Ilala na kuthibitisha kutoshiriki katika kikao cha bodi ya barabara kinachotarajiwa kufanyika kesho kwa kile wanachodai kushinikiza kuachiwa kwa madiwani na mbunge ambao wanashikiliwa na jeshi la polisi.
Akielezsea hatua hiyo Meya wa Manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob amesema kuwa hawaoni sababu ya kuendelea na vikao mbalimbali vya jiji wakati hawajui hatma ya wenzao ambao mpaka sasa wanashikiliwa na polisi na wengine wanaitwa kufika kituoni hapo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kusababisha fujo katika zoezi la uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam.
Kikao kikubwa cha kujadili mipango ya maendeleo ya jiji la Dar es Salaam kinatarajiwa kufanyika kesho ambapo mada kuu itakuwa ni ujenzi wa barabara katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
meya wa zamani bado yupo madarakani anapiga pesa kimya kimya Kwa kisingizio cha kumsubiri meya mpya wakabidhiane Ofisi .Bila Meya?
Unaelewa chochote kuhusu ngazi za maamuzi?
Pia waende kwenye Mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague wawashitaki polis pamoja na Yule mama aliyetangaza Zuio la Uongo toka mahakamani.kwa figisufigisu zinazoendelea dar kuhusu uchaguzi wa umeya na kamatakamata kwa wabunge na madiwani wa ukawa. chadema na ukawa wanapaswa kuchukua maamuzi magumu ya kuushirikisha umma....
Huo Udikteta wake ndipo unamwelekeza maana unyanyasaji ukizidi utapunguza wapiga kuraNaona kwa mara ya kwanza Rais wa awamu ya tano atakuwa madarakani kwa muhula mmoja tu.Naona kama vile January atakuwa mgombea wa kijani na Edo upande wa wananchi.
Taaluma inayokufaa zaidi ni uganga wa kienyeji(Jadi) wakutumia " TUNGULI"..Wasuse tu
Naamini ndio kitakuwa kizuri kisicho na Watoto
Pumba..umma ufanye nin sasa hapo?akili ndogokwa figisufigisu zinazoendelea dar kuhusu uchaguzi wa umeya na kamatakamata kwa wabunge na madiwani wa ukawa. chadema na ukawa wanapaswa kuchukua maamuzi magumu ya kuushirikisha umma....
Wasuse tu
Naamini ndio kitakuwa kizuri kisicho na Watoto
Pia waende kwenye Mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague wawashitaki polis pamoja na Yule mama aliyetangaza Zuio la Uongo toka mahakamani.
Hivi inawezekanaje vyombo vya usalama ambavyo vinaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi bila kujali itikadi zetu za kisiasa, kutumika vibaya kiasi hiki na watawala wa CCM?Wanatumia vyombo vya usalama vibaya
WAKISUSA SAFI TU. MAANA SISI TUTAENDELEA MAANA HAKUNA NAMNA NYINGINE HAPO!!Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesusia ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa za Temeke, Kinondoni na Ilala na kuthibitisha kutoshiriki katika kikao cha bodi ya barabara kinachotarajiwa kufanyika kesho.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesusia ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa za Temeke, Kinondoni na Ilala na kuthibitisha kutoshiriki katika kikao cha bodi ya barabara kinachotarajiwa kufanyika kesho kwa kile wanachodai kushinikiza kuachiwa kwa madiwani na mbunge ambao wanashikiliwa na jeshi la polisi.
Akielezsea hatua hiyo Meya wa Manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob amesema kuwa hawaoni sababu ya kuendelea na vikao mbalimbali vya jiji wakati hawajui hatma ya wenzao ambao mpaka sasa wanashikiliwa na polisi na wengine wanaitwa kufika kituoni hapo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kusababisha fujo katika zoezi la uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam.
Kikao kikubwa cha kujadili mipango ya maendeleo ya jiji la Dar es Salaam kinatarajiwa kufanyika kesho ambapo mada kuu itakuwa ni ujenzi wa barabara katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
Dogo acha ujinga...The hague?ccm walitangaza Zuio feki la Mahakama makusudi wakitengemea Ukawa watalipinga ili wawabambikiwe Kesi , hizo njama za kuwabambikia kesi Ukawa ni bora wangepeleka malalamiko Yao kwenye Taasisi za haki za binadamu Duniani pia wafungue kesi The Hague ili wale woote walioshiriki kuwanyanyasa washitakiwe na kuwa fundisho Kwa Udikteta unaoanza kushika kasi kwenye awamu hii ya tano.
Ila msije lia lia kuwa mmeibiwa.Naona kwa mara ya kwanza Rais wa awamu ya tano atakuwa madarakani kwa muhula mmoja tu.Naona kama vile January atakuwa mgombea wa kijani na Edo upande wa wananchi.
Hajitambui huyoBila Meya?
Unaelewa chochote kuhusu ngazi za maamuzi?
Tukujuze niniKama chadema hawakufanya maandamano kupinga kupokwa ushindi wa urais, huu unaweza ukawa ni muda muafaka??? Nijuzeni wadau