CHADEMA kusimamisha shughuli kwa ajili ya sensa huku Fiesta Mwanza kuendeleza

Naona wakati chadema wakiambiwa wasubiri M4C mpaka sensa iishe,lakini leo nimemsikia mkuu wa mkoa Tabora akihojiwa Clouds fm,akiagiza mkuu wa wilaya ahakikishe fiesta wanapewa ulinzi wa kutosha kesho,kwani sensa si bado inaendelea?.Je Chadema hawasitaili kupewa ulinzi wa kutosha kule nyololo?
 

Attachments

  • Fiesta.JPG
    Fiesta.JPG
    72.4 KB · Views: 44
Back
Top Bottom