William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Wengi wetu tunaotaka mabadiliko ya kweli kwa taifa letu, huwa tunawachukulia Chadema seriously kama chama as the best alternative from CCM, lakini pole pole au kwa kasi sana wamekuwa wakijenga imani potofu sana among wananchi kwamba kila wanaposhindwa, either iwe uchaguzi au kesi za uchaguzi, basi haki inakuwa haikutendeka na kwamba nchi haiwezi kutawalika.
- Imean, kwenye kila ushindani kuna kushinda na kushindwa, depending on how much politics you have in you kushindwa kunaweza kuwa ni kushinda, lakini unapoanza kujenga mazingara ya kwamba ukishindwa tu haki haikutendeka na hasa kwenye siasa, unajenga a very fragile political base, ambayo Mungu jalia ukija kushika madaraka itakuja kukumiza wewe mwenyewe, maana itawaruhusu uliowashinda ku-claim your conflict theory ya kutokea kwamba haki haikutendeka!
- Ujumbe wangu kwa Chadema ni kwamba some of us are taking you very serious, sasa huu msingi mnaoujenga wa haki kutendeka pale tu mnapokuwa mmeshinda, ni hatari sana kwa siasa za mbele kwa taifa, jaribuni kuweka taifa mbele kama sisi wengine.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William @DSM City!
Hata mahakama nayo haiaminiki na wananchi coz imekuwa ni ya CCM tuSie MSAMIATI wetu; mahakama ni chombo cha HAKI pale maamuzi yanakuwa na faida kwetu na si vinginevyo;
Tumeshuhudia tukitendewa haki; Singida, Biharamuro, Mbozi
Tumeshuhudia tukinyimwa haki; Arusha Mjini, Shinyanga Mjini, Segerea
Mfano mwingine ni ule wa jana wa Makongoro Mahanga. Naye alikuwepo na Makongoro ni rafiki yake amuombe hukumu aisome na aone kama haki imetendeka au alibebwa tu.Mkuu William tatizo ni pale inapoonekana wazi haki imeporwa. Kwa mfano hata mtu ukiwa punguani huwezi kukubaliana na jaji aliyetengua ubunge wa Godbless Lema. Huo ni mfano mmoja tu.
- Wengi wetu tunaotaka mabadiliko ya kweli kwa taifa letu, huwa tunawachukulia Chadema seriously kama chama as the best alternative from CCM, lakini pole pole au kwa kasi sana wamekuwa wakijenga imani potofu sana among wananchi kwamba kila wanaposhindwa, either iwe uchaguzi au kesi za uchaguzi, basi haki inakuwa haikutendeka na kwamba nchi haiwezi kutawalika.
- Imean, kwenye kila ushindani kuna kushinda na kushindwa, depending on how much politics you have in you kushindwa kunaweza kuwa ni kushinda, lakini unapoanza kujenga mazingara ya kwamba ukishindwa tu haki haikutendeka na hasa kwenye siasa, unajenga a very fragile political base, ambayo Mungu jalia ukija kushika madaraka itakuja kukumiza wewe mwenyewe, maana itawaruhusu uliowashinda ku-claim your conflict theory ya kutokea kwamba haki haikutendeka!
- Ujumbe wangu kwa Chadema ni kwamba some of us are taking you very serious, sasa huu msingi mnaoujenga wa haki kutendeka pale tu mnapokuwa mmeshinda, ni hatari sana kwa siasa za mbele kwa taifa, jaribuni kuweka taifa mbele kama sisi wengine.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William @DSM City!
- Wengi wetu tunaotaka mabadiliko ya kweli kwa taifa letu, huwa tunawachukulia Chadema seriously kama chama as the best alternative from CCM, lakini pole pole au kwa kasi sana wamekuwa wakijenga imani potofu sana among wananchi kwamba kila wanaposhindwa, either iwe uchaguzi au kesi za uchaguzi, basi haki inakuwa haikutendeka na kwamba nchi haiwezi kutawalika.
- Imean, kwenye kila ushindani kuna kushinda na kushindwa, depending on how much politics you have in you kushindwa kunaweza kuwa ni kushinda, lakini unapoanza kujenga mazingara ya kwamba ukishindwa tu haki haikutendeka na hasa kwenye siasa, unajenga a very fragile political base, ambayo Mungu jalia ukija kushika madaraka itakuja kukumiza wewe mwenyewe, maana itawaruhusu uliowashinda ku-claim your conflict theory ya kutokea kwamba haki haikutendeka!
- Ujumbe wangu kwa Chadema ni kwamba some of us are taking you very serious, sasa huu msingi mnaoujenga wa haki kutendeka pale tu mnapokuwa mmeshinda, ni hatari sana kwa siasa za mbele kwa taifa, jaribuni kuweka taifa mbele kama sisi wengine.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William @DSM City!
Wewe Malecela tumia akili yako, najua dhamira hasa ya kuanzisha uzi huu inatokana na hukumu ya jana ya kesi ya Makongoro Mahanga. NI kweli haki haikutendeka na kama ningelikuwa mimi ni aheri CCM isingemvua ubunge Aeshi - Sumbawanga Mjini lakini ikamvua Makongoro kwa sababu kesi yake ilikuwa ipo wazi sana. Naamini ni tecknolijia tu inayotuponza kuweza kuweka ushahidi wazi zaidi kama nchi zilizoendelea.
Back to the point, theory hiyo unayodai inakuwa postulated na CDM inaweza ikarudi haina mashiko endapo CDM ikishika madaraka itaacha kuingilia mihimili mingine ya maamuzi na kupunguza manung'uko kama ya sasa hivi yanayoendelea.
Inapoonekana haki ipo ndipo CCM inapoipoteza na inapoonekana haipo ndipo inapopatikana!!!! Hii yote inatokana na mfumo unaoitafuna CCM wa kubebana.
Ni mpaka pale CCM itakapooacha kuingilia mihimili mingine ya maamuzi hasa mahakama na tume ya taifa ya uchaguzi ndipo haki itaonekana kutendeka na malalamiko yatapungua kama si kukoma kabisa.
Sie MSAMIATI wetu; mahakama ni chombo cha HAKI pale maamuzi yanakuwa na faida kwetu na si vinginevyo;