muonamambo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 875
- 545

Hakuna jambo nzuri kama mtu kukubalika kwa wananchi kuliko chama. Mzee Qamunga alikuwa chaguo la wananchi wa kata ya Endasak. CCM walidhani alichaguliwa kwa ajili ya chama na yale meno meupe ya Mkulu. Hongera sana Qamunga kwa kuchagua CHADEMA hujakosea. Ushindi wa CHADEMA kwa Endasak uko wazi. Huyo mama mwacheni ahangaike, maamuzi ni ya wananchi hawezi kushindana na nguvu ya umma.

VIVAAA Chadema

Napajua endasak..Ni baada ya Masakta nadhani.........Fanye kweli maana Mageuzi ni lazima..... Dareda Kati ni CCM na mi MAMA YANGU.... nampenda na namheshimu sana ..ila Chama amekwanga....

mawe nyene.mwaka huu magamba watajibeba.mia
Wakuu turushieni picha tujionee na sisi.

Msafara una vijana karibu 50 wakiwa na pikipiki zenye bendela za chadema magari na umati mkubwa wa watu

Ndugu punguzeni maneno wekeni picha then mbwabwaje,sawa?tunasubiri.

Wandugu nilitamani niwape picha lakini natumia simu na siwezi ku upload picha nilizopiga.

Huku CCM wamemsindika mgombea wao na magari matatu huku wakiwa wanyonge na wanawalaumu Chadema kwa kuja na Mamluku toka Dareda na Katesh ili kujaza umati wa kumsindikiza mgombea wao.

Swali ni nani mwenye Tabia ya kubeba watu kuja kujaza umati CCM au Chadema?

Magwanda siku hizi wana tabia ya kukodi mamluki, si unajua tena vijana wengi hawana ajira kwahiyo wanatumia hiyo nafasi kuwadanganya kwa kete za ndumu ili wajaze umati.
Mgombea udiwani katika kata ya Endasak wilaya hanang bwana Hasimu kamunga aka Muna apewa nafasi kubwa ya kushinda. Mgombea huyo ambaye alikuwa diwani wa eneo kwa tiket ya CCM sasa amehamia CHADEMA na anagombea tena Udiwani.
Mgombea huyo aliyetuhuimiwa kumpigia kampeni mgombea wa Chadema ana nafasi kubwa yua ushindi hasa kwa kuwa anakubalika kwa pande zote mbil.
Nipo hapa endasak kwa muda na naona msafara wa kubwa unaomsindikiza mgombea huyu kwenda kuchukua fomu.
Naona pia Mh Mary Nagu akihaha kunusuru kiti hicho. Lakini duru la siasa linasema anatwanga maji kwnye kuni.