CHADEMA kushinda Endasak

muonamambo

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
875
545
Mgombea udiwani katika kata ya Endasak wilaya hanang bwana Hasimu kamunga aka Muna apewa nafasi kubwa ya kushinda. Mgombea huyo ambaye alikuwa diwani wa eneo kwa tiket ya CCM sasa amehamia CHADEMA na anagombea tena Udiwani.

Mgombea huyo aliyetuhuimiwa kumpigia kampeni mgombea wa Chadema ana nafasi kubwa yua ushindi hasa kwa kuwa anakubalika kwa pande zote mbil.

Nipo hapa endasak kwa muda na naona msafara wa kubwa unaomsindikiza mgombea huyu kwenda kuchukua fomu.

Naona pia Mh Mary Nagu akihaha kunusuru kiti hicho. Lakini duru la siasa linasema anatwanga maji kwnye kuni.

Magamba mwaka huu lazima yakiri kwamba wananchi wameshayachoka kila mahali.

Hakuna jambo nzuri kama mtu kukubalika kwa wananchi kuliko chama. Mzee Qamunga alikuwa chaguo la wananchi wa kata ya Endasak. CCM walidhani alichaguliwa kwa ajili ya chama na yale meno meupe ya Mkulu. Hongera sana Qamunga kwa kuchagua CHADEMA hujakosea. Ushindi wa CHADEMA kwa Endasak uko wazi. Huyo mama mwacheni ahangaike, maamuzi ni ya wananchi hawezi kushindana na nguvu ya umma.

Naona mgombea wa CCM anapita na gari ndogo kinyonge kabisa bila shamrashamra kama anaenda kwenye msiba.
Viongozi wake wakubwa chini ya mama Nagu wanpanga kukutana jioni kuona wafanyaje kwani mgombea wao anaonekana kukosa mvuto.

Kuna tetesi wanataka kuwaleta wageni toka Dareda na katesh kuja kupiga kura hapa Endasak kwa kutumia shahada zitakazoibiwa na wapiga kura.

Wenyeji wanasema hilo haliwezekani kwani wanafahamiana na watalinda kura mwanzo Mwisho

VIVAAA Chadema

Wakati bw Muna anarudisha kadi ya CCM na kuhamia Chadema alikomba wanachama 78 ambao wote warirudisha Kadi siku hiyo.

Rose kamili anaongoza msafara wa Chadema mambo moto moto hapa.

Kweli Chadema kiboko

Napajua endasak..Ni baada ya Masakta nadhani.........Fanye kweli maana Mageuzi ni lazima..... Dareda Kati ni CCM na mi MAMA YANGU.... nampenda na namheshimu sana ..ila Chama amekwanga....

Huu umati ni noma bahati mbaya natumia simu ya mkononi nashindwa ku upload nimepiga picha nitawaletea baadaye nikifika Arusha mjini

Ndugu punguzeni maneno wekeni picha then mbwabwaje,sawa?tunasubiri.

Wandugu nilitamani niwape picha lakini natumia simu na siwezi ku upload picha nilizopiga.

Huku CCM wamemsindika mgombea wao na magari matatu huku wakiwa wanyonge na wanawalaumu Chadema kwa kuja na Mamluku toka Dareda na Katesh ili kujaza umati wa kumsindikiza mgombea wao.

Swali ni nani mwenye Tabia ya kubeba watu kuja kujaza umati CCM au Chadema?

Magwanda siku hizi wana tabia ya kukodi mamluki, si unajua tena vijana wengi hawana ajira kwahiyo wanatumia hiyo nafasi kuwadanganya kwa kete za ndumu ili wajaze umati.

Hapo Endasak inatakiwa CHADEMA ijitahidi ili kunyakua Kiti cha Udiwani katika Kata ya Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye na Waziri Mary Nagu.

Ndiyo ijulikane kwamba wananchi wameichoka CCMagamba.

GreatThinkers,
For your information,
Endasak ndiyo kata aliyozaliwa Mary Nagu an ndiyo kwao,
Ipo kati ya Katesh na Dareda ukiwa unelekea Babati mjini.

Ni sehemu tata sana kwa C-C-M acha wapigwe chini.

Peoples........................Power

Magwanda siku hizi wana tabia ya kukodi mamluki, si unajua tena vijana wengi hawana ajira kwahiyo wanatumia hiyo nafasi kuwadanganya kwa kete za ndumu ili wajaze umati.

CCM wafanya kituko mafuta ya kugawa kwa waendesha pikipiki yamefika sasa na wanagawa lita 5 kwa pikipiki na lita 10 kwa wenye magari. Sharti ni kuungana na msafara wa CCM .

Watu wanachukuwa mafuta na kupewa bendela kisha wanakimbia msafara na kurudisha bendela zao za Chadema.

Kweli Endasak kumekucha.

Bahati mbaya natakiwa kwenda kateshi muda si mrefu ningewaletea habari zaidi.

Mgombea udiwani katika kata ya Endasak wilaya hanang bwana Hasimu kamunga aka Muna apewa nafasi kubwa ya kushinda. Mgombea huyo ambaye alikuwa diwani wa eneo kwa tiket ya CCM sasa amehamia CHADEMA na anagombea tena Udiwani.

Mgombea huyo aliyetuhuimiwa kumpigia kampeni mgombea wa Chadema ana nafasi kubwa yua ushindi hasa kwa kuwa anakubalika kwa pande zote mbil.

Nipo hapa endasak kwa muda na naona msafara wa kubwa unaomsindikiza mgombea huyu kwenda kuchukua fomu.

Naona pia Mh Mary Nagu akihaha kunusuru kiti hicho. Lakini duru la siasa linasema anatwanga maji kwnye kuni.

Huyu sio gamba kweli? CHADEMA waangalie wasije wakawa wanavaa magamba/mashibuda yanayovuliwa na CCM.

Hakuna jambo nzuri kama mtu kukubalika kwa wananchi kuliko chama. Mzee Qamunga alikuwa chaguo la wananchi wa kata ya Endasak. CCM walidhani alichaguliwa kwa ajili ya chama na yale meno meupe ya Mkulu. Hongera sana Qamunga kwa kuchagua CHADEMA hujakosea. Ushindi wa CHADEMA kwa Endasak uko wazi. Huyo mama mwacheni ahangaike, maamuzi ni ya wananchi hawezi kushindana na nguvu ya umma.

Kama Shibuda hana shida ya Chama chochote!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom