Chadema kurusha chopa 10 2015

Chadema kurusha chopa 10 2015

mzee wa 3

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
288
Reaction score
37
Hayo yalisemwa leo na mwenyekiti wa BAVICHA ndugu Heche wakati akiwahutubia wananchi wa Karatu alisema 'wanahoji chopa 3 2015 tunarusha 10 kila kanda itapewa chopa lake'
 
Cdm watupe budget kabisa ni kiasi gani kinagtajika 2015 tuanze kuzichangia mapema ili ziruke choppa 10 ikiwezekana na jet kabisaa
 
jimbo la muheza tupo tayari kuchangia ili tupate chopa ya kampeni
 
henhe ndo mana yake,ccm wakijamba sisi tunahalisha,tunataka kila kitongoji cha tanzania kufikiwa,ccm bye bye
 
Back
Top Bottom