CHADEMA, kupoteza jimbo la BUKOMBE~2015

Mhe. AJAYE

Member
Dec 20, 2013
32
70
"Dalili ya mvua ni mawingu" ni dhahiri kuwa 2015 cdm ipo hatarini kupoteza jimbo hilo, kuna kila dalili na sababu ziko wazi kwa jimbo hilo kwenda ccm, Naomba niwape sababu/utetezi wang:~ 1, Kwanza jimbo walilipata kwa bahat baada ya ccm kucheza rafu ndan ya dk 90(kura za maon) 2, Huyu Prof(mbunge) haendani kabisa na siasa/harakati za cdm 3, Ahadi nying hazijatekelezwa mpaka leo wakat ingekuw mpira tayar dk ya 70, sasa atafunga lin(kutekeleza ahadi zake)? Mapendekezo:~ Kama cdm wanataka kukutea jimbo lao wafanye yafuatayo 1. Huyu Prof wasije wakarogwa wamurudishe kugombea tena/piga chn pamoja na Elimu yake 2. kwa siku chache zilzobaki naomba viongoz wakubwa(influencial leaders) wapende kutembelea na kutimiza walau ahadi chache za huyu Mhe. 3, Jipangen kudhibiti rushwa ndan ya chama maana inasemekana wenzenu wajipanga kununua mgombea yeyote mtakaemuweka, 4, Jimbo hilo huwa lina dalili za ukabila(WASUBWA, WAHA na WASUKUMA) kuwen makini na hayo.!
 
Mhe. AJAYE

Member
Dec 20, 2013
32
70
Mwenye maoni alete/atoe na mwenye kukosoa akosoe ila hayo na maoni na ukwel wang kwa kujionea mwenyewe kilichopo BUKOMBE
 
Naghenjwa

JF-Expert Member
May 10, 2013
724
250
"Dalili ya mvua ni mawingu" ni dhahiri kuwa 2015 cdm ipo hatarini kupoteza jimbo hilo, kuna kila dalili na sababu ziko wazi kwa jimbo hilo kwenda ccm, Naomba niwape sababu/utetezi wang:~ 1, Kwanza jimbo walilipata kwa bahat baada ya ccm kucheza rafu ndan ya dk 90(kura za maon) 2, Huyu Prof(mbunge) haendani kabisa na siasa/harakati za cdm 3, Ahadi nying hazijatekelezwa mpaka leo wakat ingekuw mpira tayar dk ya 70, sasa atafunga lin(kutekeleza ahadi zake)? Mapendekezo:~ Kama cdm wanataka kukutea jimbo lao wafanye yafuatayo 1. Huyu Prof wasije wakarogwa wamurudishe kugombea tena/piga chn pamoja na Elimu yake 2. kwa siku chache zilzobaki naomba viongoz wakubwa(influencial leaders) wapende kutembelea na kutimiza walau ahadi chache za huyu Mhe. 3, Jipangen kudhibiti rushwa ndan ya chama maana inasemekana wenzenu wajipanga kununua mgombea yeyote mtakaemuweka, 4, Jimbo hilo huwa lina dalili za ukabila(WASUBWA, WAHA na WASUKUMA) kuwen makini na hayo.!

Wewe ndo ulikabidhiwa mikoba na shehe yahaya?
 
Mhe. AJAYE

Member
Dec 20, 2013
32
70
Mambo mengne hayahitaji nguvu za giza au Elimu ya chuo kikuu, "Ni kutumia common sense in observing the rationaly anda reality of an area" hakuna cha shekhe hapa..!
 
igimbagu

Member
Oct 27, 2013
5
0
Mhe.Ajaye!
Tafuta gia nyingine ya kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea ubunge wa jimbo hilo!.Unazijua changamoto zinazowakabili watu wa Bukombe?.
 
Sema Chilo

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
324
0
Hivi hawa wabunge wa CCM woteeee wametekeleza na kumaliza ahadi zao? nipe mmoja jina lake anaitwa nani. hata ahadi za rais hazijatimia
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,953
2,000
"Dalili ya mvua ni mawingu" ni dhahiri kuwa 2015 cdm ipo hatarini kupoteza jimbo hilo, kuna kila dalili na sababu ziko wazi kwa jimbo hilo kwenda ccm, Naomba niwape sababu/utetezi wang:~ 1, Kwanza jimbo walilipata kwa bahat baada ya ccm kucheza rafu ndan ya dk 90(kura za maon) 2, Huyu Prof(mbunge) haendani kabisa na siasa/harakati za cdm 3, Ahadi nying hazijatekelezwa mpaka leo wakat ingekuw mpira tayar dk ya 70, sasa atafunga lin(kutekeleza ahadi zake)? Mapendekezo:~ Kama cdm wanataka kukutea jimbo lao wafanye yafuatayo 1. Huyu Prof wasije wakarogwa wamurudishe kugombea tena/piga chn pamoja na Elimu yake 2. kwa siku chache zilzobaki naomba viongoz wakubwa(influencial leaders) wapende kutembelea na kutimiza walau ahadi chache za huyu Mhe. 3, Jipangen kudhibiti rushwa ndan ya chama maana inasemekana wenzenu wajipanga kununua mgombea yeyote mtakaemuweka, 4, Jimbo hilo huwa lina dalili za ukabila(WASUBWA, WAHA na WASUKUMA) kuwen makini na hayo.!

Umeanza lini kazi ya utabiri?
 
KirilOriginal

JF-Expert Member
Feb 13, 2012
2,148
2,000
"Dalili ya mvua ni mawingu" ni dhahiri kuwa 2015 cdm ipo hatarini kupoteza jimbo hilo, kuna kila dalili na sababu ziko wazi kwa jimbo hilo kwenda ccm, Naomba niwape sababu/utetezi wang:~ 1, Kwanza jimbo . kwa siku chache zilzobaki naomba viongoz wakubwa(influencial leaders) wapende kutembelea na kutimiza walau ahadi chache za huyu Mhe. 3, Jipangen kudhibiti rushwa ndan ya chama maana inasemekana wenzenu wajipanga kununua mgombea yeyote mtakaemuweka, 4, Jimbo hilo huwa lina dalili za ukabila(WASUBWA, WAHA na WASUKUMA) kuwen makini na hayo.!

Asante sana kamanda haya ndo mawazo tunayoyatafuta tuweze kuyafanyia kazi mapema, pia wapo wengi ambao chama kitawapa kazi mbadala kwa kuwa sasa wapo wanachama wengi wenye uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
 
Abunuas

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
8,726
1,500
we sema tu unataka wakupitishe ugombee ubunge kwenye hilo jimbo. unakuja na msururururururu wa kumponda mwenzako kwa ajili ya kutaka ulaji. shame on you.
jenga hoja na jipange kama unalihitaji jimbo hilo na so kwa sababu nyepesinyepesi kama hizi.
 
Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,809
0
Hasa pale Runzewe ndio hovyo kabisa, wameshindwa hata kuweka umeme na kupanua barabara za hapo mjini?
Afadhali ya Ushirombo kidogo.
 
igimbagu

Member
Oct 27, 2013
5
0
Naona tujadili kwanza namna ya kushirikiana kwa mawazo ,fikra na mbunge aliyepo wa cdm prof.Kahigi ili aweze kutimiza ahadi alizotoa kwa wana bukombe wakati wa kampeni 2010!.Tusipende kumhukumu tu yeye pekee yake!.mnajua kabisa yeye ni wa cdm wenye serikali yenye fedha za maendeleo ni ccm, kuna changamoto zake!.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom