CHADEMA kupasua anga tena

CHADEMA kupasua anga tena

mtendaji wa kijiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
533
Reaction score
115
Kwa mara nyingine tena kutakua na mikutano ya hadhara ya kukijenga chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya same. ambapo ratiba nikama ifuatavyo tar 9/6/2013 utafanyika mkutano kata ya Hedaru, tarehe 10/6/2013 Saweni Gavao , Tarehe 11/6/2013 Ruvu.

kijana Godson Mbaga atafanya ziara hiyo lengo likiwa ni kukijenga chama kwa kufungua misingi katika kata tajwa. ikumbukwe Kijana Godson Mbaga ni miongoni mwa vijana walio tangaza nia za kugombea ubunge 2015 endapo atapewa ridhaa na chama

tunaomba ushirikiano wenu makamanda. kwa mawasiliano usisite kupiga +255752225501
 
Chapeni kazi Same ibadilike na pale mna mbuga ya wanyama ya Mkomazi na ule udogo Willy anapeleka kenya bure ilihali Same wanahitaji la vyanzo vya mapato ya ndani. Na ile dhahabu kule msituni Shengena vp? Waelezeni Wananchi maisha wanayoishi ni ya zama za Mabadiliko.
 
Kila lililo la heri makamanda, CHADEMA pigeni kazi nchi nzima hasa kusini mwa nchi kama Ruvuma, Njombe, na hata Iringa vijijini!
 
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]
Kwa mara nyingine tena kutakua na mikutano ya hadhara ya kukijenga chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya same. ambapo ratiba nikama ifuatavyo tar 9/6/2013 utafanyika mkutano kata ya Hedaru, tarehe 10/6/2013 Saweni Gavao , Tarehe 11/6/2013 Ruvu.

kijana Godson Mbaga atafanya ziara hiyo lengo likiwa ni kukijenga chama kwa kufungua misingi katika kata tajwa. ikumbukwe Kijana Godson Mbaga ni miongoni mwa vijana walio tangaza nia za kugombea ubunge 2015 endapo atapewa ridhaa na chama

tunaomba ushirikiano wenu makamanda. kwa mawasiliano usisite kupiga +255752225501

Safi sana makamnda hapo same panahitajika ukombozi wa haraka sana, nikama hakuna mbunge huo ukanda kabisa, aliyepo ni bure kabisa hatahuko kwenye chama chake wameshamwona, in fact safari hii inahitajika apumzishwe kabisa.
 
Kamanda fika kijiji cha Mwembe waamke na hiyo michanga Willy anayopeleka Kenya waelimishe. Wanataka Ukombozi kweli thatha hivi.
 
Safi sanaaa.
Mungu akipenda Nategemea nitakuwepo huko tarehe hizo ili kuongeza nguvu.
Please, tunaomba sana CHADEMA Kanda/Makao makuu mlete bendera nyingi.
Mategemeo yangu katika ziara hii zaidi ya bendera 100 zipandishwe na kukaa kwenye miti, mapaa ya nyumba nk.
 
Huyo Godson Mbaga, atoe CV yake hapa kwanza ili tuzichuje
 
Back
Top Bottom