CHADEMA kuongoza Halmashauri mpya ya UVINZA

Greenwhich

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,337
Reaction score
968
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kinatarajiwa kuongeza nguvu yake kisiasa kwa kuongoza Halmashauri mpya ya wilaya ya Uvinza inayotarajiwa kuanza kisheria 20 Julai,2013.Halmashauri hii iko katika mkoa wa Kigoma.

Halmashauri hiyo ya Uvinza ina Jumla ya Madiwani 13 kutoka upinzani na CCM ina madiwani 8 tu.Kati ya hao madiwani wa upinzani CHADEMA inao jumla 7 NCCR 5 na mbunge mmoja kutoka NCCR.

Kutokana na hali hiyo Chadema inatarajiwa kuungana na NCCR ili kumpata Mkiti na Makamu Mkiti kutoka katika vyama hivyo.Endapo kila kitu kitaenda sawa Mkiti atapendekezwa kutoka Chadema na Makamu Mkiti atatoka NCCR.Halafu vyama hivyo vitagawana nafasi ya wenyeviti wa kamati mbalimbali.

Hata hivyo kuna hofu kubwa kwamba CCM kinataka kumtumia Mkiti wa NCCR James Mbatia kutaka CCM waungane na NCCR na kuisaliti Chadema.
 
Ndio maana ya ndoa ya mkeka. CDM chama kikubwa kishauriane na vyama vidogo vidogo viungane ili 2015 kiwe na nguvu ya kutosha!
 
Kama Mbatia akiamuru NCCR iungane na Chadema utakuwa ni usaliti mkubwa.Watu wa Uvinza wanataka Chadema iongoze Halmashauri hii.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kinatarajiwa kuongeza nguvu yake kisiasa kwa kuongoza Halmashauri mpya ya wilaya ya Uvinza inayotarajiwa kuanza kisheria 20 Julai,2013.Halmashauri hii iko katika mkoa wa Kigoma.

Halmashauri hiyo ya Uvinza ina Jumla ya Madiwani 13 kutoka upinzani na CCM ina madiwani 8 tu.Kati ya hao madiwani wa upinzani CHADEMA inao jumla 7 NCCR 5 na mbunge mmoja kutoka NCCR.

Kutokana na hali hiyo Chadema inatarajiwa kuungana na NCCR ili kumpata Mkiti na Makamu Mkiti kutoka katika vyama hivyo.Endapo kila kitu kitaenda sawa Mkiti atapendekezwa kutoka Chadema na Makamu Mkiti atatoka NCCR.Halafu vyama hivyo vitagawana nafasi ya wenyeviti wa kamati mbalimbali.

Hata hivyo kuna hofu kubwa kwamba CCM kinataka kumtumia Mkiti wa NCCR James Mbatia kutaka CCM waungane na NCCR na kuisaliti Chadema.

Kiongozi!

Acha wamtumie tu. Awike asiwike kutakucha! CHADEMA ni moto chini kwa sana. Hakuna wa kuizuia T 2015 CDM.
 
Chadema yalivyo mabinafsi sijui kama yatakubali kuungana na wenzao.
 
Wale NCCR-Mageuzi Kigoma hawamtii Mbatia kwahiyo vyovyote vile wataungana na Chadema
 
Hata hivyo kuna hofu kubwa kwamba CCM kinataka kumtumia Mkiti wa NCCR James Mbatia kutaka CCM waungane na NCCR na kuisaliti Chadema.
Mbatia yupi? huyu mwenyekiti wa NCCR aliyepewa ubunge na mkuu wa kaya ili a deal na vitu kama hivi?
 
Masanilo; Mbatia hana lolote kwenye political games na kwa hapo Uvinza Mbunge ana ushawishi mkubwa kuliko huyo Mwenyekiti wa NCCR, Ikumbukwe kwamba Mbunge alipata kura nyingi kutokana na madiwani hao wa CHADEMA kumpa ushirikiano baada ya mgombea kupitia CHADEMA kutokuwa na mvuto na hii ilitokana na namna alivyopatikana.Endapo NCCR wataungana na CCM ina maana mwaka 2015 wasahau kabisa kutetea nafasi zao kitu ambacho sidhani kama watakubaliana nacho hata kama Mbatia atawaagiza wafanye hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Watu wa kigoma wana misimamo yao. Na kama Mbatia hawajui atakiona cha moto
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kinatarajiwa kuongeza nguvu yake kisiasa kwa kuongoza Halmashauri mpya ya wilaya ya Uvinza inayotarajiwa kuanza kisheria 20 Julai,2013.Halmashauri hii iko katika mkoa wa Kigoma.

Halmashauri hiyo ya Uvinza ina Jumla ya Madiwani 13 kutoka upinzani na CCM ina madiwani 8 tu.Kati ya hao madiwani wa upinzani CHADEMA inao jumla 7 NCCR 5 na mbunge mmoja kutoka NCCR.

Kutokana na hali hiyo Chadema inatarajiwa kuungana na NCCR ili kumpata Mkiti na Makamu Mkiti kutoka katika vyama hivyo.Endapo kila kitu kitaenda sawa Mkiti atapendekezwa kutoka Chadema na Makamu Mkiti atatoka NCCR.Halafu vyama hivyo vitagawana nafasi ya wenyeviti wa kamati mbalimbali.

Hata hivyo kuna hofu kubwa kwamba CCM kinataka kumtumia Mkiti wa NCCR James Mbatia kutaka CCM waungane na NCCR na kuisaliti Chadema.

kumbe jk kumteua Mbatia alikuwa na malengo haya??
 
Kuisaliti chadema???? Kwani kuna MoU kati ya Chadema na NCCR? Au neno kusaliti ni hisia tu?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kinatarajiwa kuongeza nguvu yake kisiasa kwa kuongoza Halmashauri mpya ya wilaya ya Uvinza inayotarajiwa kuanza kisheria 20 Julai,2013.Halmashauri hii iko katika mkoa wa Kigoma.

Halmashauri hiyo ya Uvinza ina Jumla ya Madiwani 13 kutoka upinzani na CCM ina madiwani 8 tu.Kati ya hao madiwani wa upinzani CHADEMA inao jumla 7 NCCR 5 na mbunge mmoja kutoka NCCR.

Kutokana na hali hiyo Chadema inatarajiwa kuungana na NCCR ili kumpata Mkiti na Makamu Mkiti kutoka katika vyama hivyo.Endapo kila kitu kitaenda sawa Mkiti atapendekezwa kutoka Chadema na Makamu Mkiti atatoka NCCR.Halafu vyama hivyo vitagawana nafasi ya wenyeviti wa kamati mbalimbali.

Hata hivyo kuna hofu kubwa kwamba CCM kinataka kumtumia Mkiti wa NCCR James Mbatia kutaka CCM waungane na NCCR na kuisaliti Chadema.
Yote yatategemea utashi wa Zitto Zuberi Kabwe.
 
Alipo Mbatia lazima mambo yaharibike tu..sina imani kabisa na huyu jamaa.....
 
Back
Top Bottom