Chadema kunahaja yakupata vitu hivi

sokoinei

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,832
566
Kwamambo yalio jitokeza jana kwa M4C, nadhani kuna haja sasa ya kununua itv au chanel 10,tuimiliki iwe ya CDM kabisaa au tufungue CHADEMA tv na tuwe na redio chadema, na pia kuna umuhimu wakua na mtandao wasm uitwe chadema. Na vocha za chadema kama manji ana mtandao wake wa CM itakuaje cdm bana?

Nawengi tutahama voda. M4C jana sijaiona nasikia story tu problem umeme na TV za kibaguz, mpesa zilijam kwamakusud ili tusichangie ninauchungu nawasilisha
 
yap ni kweli mkuu...kwani kuanzisha tv na redio ni bei gani?? Kwa nini lengo lisiongezwe kutoka billion tano hadi saba ili tuchangie kwa ajili ya tv na radio?? kwani sheria hairuhusu kuwa na vyombo vya habari vya kisiasa?? mbona vya kidini vipo??
 
Wazo zuri!!kwa mpango huo tunaweza kupata habari nyingi kuhusu chama chetu,na kama itasambaa nchi nzima itakua ni lahisi kwa watu wengi kuwasiliana na chama chao moja kwa moja.walio karibu na viongozi wakuu fikisheni hiri!!!!!
 
Back
Top Bottom